LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta.
Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha.
Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu mchepuko wake? Ikajulikana jamaa kamjengea mchepuko wake nyumba kali sana tena in a very decent neighborhood in DSM but kaamua kumpangia nyumba mtaa huo kwa ajili ya watoto kuwa karibu na shule.
Tupe ushuhuda wako na wewe ili tuwe motivated kutafuta pesa.
Some people are getting it out context Yani wao wanajadili kuhusu jamaa kumpangia mchepuko nyumba ya mil2.5 Kwa mwezi kwa mwaka mzima badala ya kujadili Mada " Jambo ulilo lishuhudia mtu akifanya TZ ukasema bongo Kweli watu Wana Hela. Wabongo Bana Yani " UNA MUACHA YESU UNA MCHAGUA BARABA" Ndio maana watu wanafeli Sana mitihani. Instead of answering the question, ur talking about the question!!.
Ningeweza kutoa mfano kama Huu hapa chini.
In addition to that hii mada IPO on trending almost Dunia nzima. Hata Kenya juzi kuna comedian anaitwa NJUGUSH amepost Na watu wamefunguka. Nashangaa watz tunashindwa kuelewa concept ndogo kama HII. What's up? Zero IQ or what?
We are very slow AF. Ndio maana kwenye Soko la ajira ( kwenye makampuni/ taasisi) kama Kuna mbongo Na mkenya wanagombania nafasi Moja basi mkenya hupewa kipaumbele.
Niliwahi shuhudia kwenye interview Moja kwenye kampuni ya muhindi, short listed candidates walikuwa wabongo Na wakenya.Basi muhindi kafika kasema
" BHANA BHANA BHANA, WACHA WAKENYA WAANZE KWANZA KUFANYA INTERVIEW DIO NYINGINE TAFATIA BHANA, BARABARA CHEEE! BARABARA CHEE!!!
Alivyopost Njugush watu wamefunguka vitu vingi Sana Na Mimi nimejifunza vitu vingi Na kuwa inspired alot. But TZ dah. Tuendelee Ku discuss Simba Na Yanga Tu.