Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

Mada ni kumpangia 'mchepuko' nyumba ya milioni mbili na nusu au kupanga nyumba ya milioni mbili na nusu wakati tayari ameshamjengea ya kwake na wanashindwa kuhamia sababu watoto wanasoma shule ya karibu???

Kama ishu ni kumpangia 'Mchepuko wake' mimi sioni kama ni ishu sababu mchepuko ni majina tu jamii inajiwekea ili wengine wajione bora, huyo ni mwanamke wake na zaidi ni mama wa watoto wake, anafanya hayo kwa ajili ya familia yake nyingine aliyoianzisha kwa furaha zake, nampa pongezi sana huyo mpangaji wako kwa kupenda familia yake,

Na kama ishu ni kuendelea kupanga wakati tayari ana nyumba hapo natofautiana nae, unless wawe wana mkakati mwingine, lakini sababu ya ukaribu wa shule kwa watoto sio sababu ukizingatia shule zilizojaa.
Pengine hiyo nyumba kali aliyojenga ataweka mpangaji atakayelipa zaidi ya 2.5 million kwa mwezi
 
Mimi nina jamaa yangu anakunywa sana pombe mara nyingi hua nakua nae lakini huwa na mkimbia huyu jamaa yangu ni msiri sana katika mambo yake sasa kuna siku moja kuna jamaa alinionq nae,,siku iliofatia jamaa alinifata ofisini kwangu akasema yule jamaa uliekua nae ni nani yako na unamjua mi nikamjibu ndio ni jamaa yangu wa siku nyingi tu basi jamaa kusikia vile akaanza kusema aisee basi we upo vizuri kama jamaa yako mi nikaguna kivipi ndugu yangu we si unaona ofisi yangu ndo hii sasa hzo hela nyingi natoa wapi basi jamaa kusikia namwambia mi nipo kawaida tu ndo akaanza kumwaga siri za huyu jamaa yangu kwanza akanambia huyu jamaa yako unajua kua anasimamisha hotel mbili za gorofa tano kwa pamoja zote nikasema sijui akasema unajua sehemu fulani anajenga tena hotel nikasema sijui akasema kwake unapajua nikasema ndio napajua akasema ile nyumba anayokaa we unafikiri ni ya kawaida nikamwambia hapana ni nyumba nzur basi akasema huyu mwenzio ana hela sana apa mjini jifunze kitu toka kwake basi ikabidi nianze kumdadisi kidogo namna ta kufanikiwa aisee jamaa hua ananiambia tu saving ndo inayofanya mambo yote dah aisee kweli nilichoka mana kwa hesabu za haraka haraka saving alionayo yeye basi sio ya kawaida kweli mafanikio ni siri sana watu waliofanikiwa huwa hawasemi mafanikio yao ila mjini humu watu wana hela sana kiasi kwamba ukiwa nao karibu unaweza kujifunza ama kujiongezea stres tu
Saving kutoka wapi? Ya kujenga ghorofa 2 kwa mpigo😅!!!
Savings has alot to do about how much you earn.
 
Mkuu watu wana hasira sana. Kitu simple tu wanachukulia so serious!

Ni umasikini mkuu
Kujadili na maskini inataka moyo

Hebu muangalie huyu tajiri Dubai Rolls Royce yake ni $800,000
Ila number plate #5 kanunua kwa $9m

Sasa masikini hapo povu litamtoka na kusema linajionyesha tu hilo halina lolote [emoji23][emoji23]

Mimi nimeisha mjengea mwanangu nyumba akiwa bado shule na anajua ni yake
Sasa hapo natafuta sifa kwa nani kwa mfano

Ufukara ni laana na sio jambo zuri
IMG_3841.jpg
 
Watu wengine hawana savings Bali wanahela nyingi sana hata watumie vipi zinabaki nyingi sana.
Hahahahahah yeah kuna watu hawana haja ya ku save! Pesa inayoingia vyanzo ni vingi mno au vichache ila vinaingiza pesa ndefu sana.

Kuna mtu anaweza tumia 5M on a 3 day movement to kwenda places akiwa na familia yake. Ila kwa low income earner anaweza kuhisi miujiza. Mtu kama huyu unakuta anaingiza 50M kila week toka vyanzo vyake vya mpunga!
 
Ha ha ha...mkuu kuna Jamaa jirani na ofisi yangu kanunua nyumba hizi za Kiswahili 250m kapiga chini ndani ya wiki mbili hivi anapiga slab ghorofa ya kwanza! Ilibidi nifuatilie,nikamuuliza kijana wa mtaani huyu ni Nani na anajenga nini? Lengo kama anajenga offices na vitu kama hivyo naweza kufanya booking kabisa.
Kwahio sometimes kufuatilia is inevitable labda uwe unaishi kisiwani Peke yako!
GT si useme tu ni wewe Ndo ulinunua iyo nyumba ukabomoa nakujenga ikawa huyo jamaa unaodai ni wewe akawa anaulizia ulizia?
 
Saving kutoka wapi? Ya kujenga ghorofa 2 kwa mpigo[emoji28]!!!
Savings has alot to do about how much you earn.

Kaka mi nimebak kama muangaliaj tu wa uyu jamaa yangu juzi kati kavuta prado moja matata sana na bar akianza kunywa ni mpka kesho saa 11 afu jumapili kanisani kama kawa na apo anaenda kanisan huku home amerudi saa 11 aisee maisha haya matajiri wa michongo ni waongo waongo sana huwa wanasema savings tu sasa apo ndo najiuliza mwenzangu anafanya saving gani na sio kwamba ni mfanya biashara ni mfanyakazi tu wa kampun flani hiv
 
Watu wengine hawana savings Bali wanahela nyingi sana hata watumie vipi zinabaki nyingi sana.

Kabisa kabisa mkuu kuna watu wanahela nyingi ambazo hata kukuambia zinavopatikana inakua ni ngumu mtu account za benk anazo karibia zote sasa apo si balaa
 
Kaka mi nimebak kama muangaliaj tu wa uyu jamaa yangu juzi kati kavuta prado moja matata sana na bar akianza kunywa ni mpka kesho saa 11 afu jumapili kanisani kama kawa na apo anaenda kanisan huku home amerudi saa 11 aisee maisha haya matajiri wa michongo ni waongo waongo sana huwa wanasema savings tu sasa apo ndo najiuliza mwenzangu anafanya saving gani na sio kwamba ni mfanya biashara ni mfanyakazi tu wa kampun flani hiv
Mafanikio ya mtu yana siri kubwa sana kamwe hutakaa uelewe😅 mambo ni mengi!
 
kwenye neighborhood ambayo nakaa, watu wanashindana ku-renovate majumba yao kila siku na wengine wanajenga mapya kila siku.

yaani hii neighborhood kuanzia january to december activities za masuala ya ujenzi hazijawahi kusimama. kila mtu anataka jumba lake liwe na u-unique fulani. hawataki kufanana.

huwa nakaa nasema,kumamake walahi, hawa wasenge wana pesa za kuchezea.
giphy.gif


giphy.gif


giphy.gif
 
Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta.

Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha.

Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu mchepuko wake? Ikajulikana jamaa kamjengea mchepuko wake nyumba kali sana tena in a very decent neighborhood in DSM but kaamua kumpangia nyumba mtaa huo kwa ajili ya watoto kuwa karibu na shule.

Tupe ushuhuda wako na wewe ili tuwe motivated kutafuta pesa.

Some people are getting it out context Yani wao wanajadili kuhusu jamaa kumpangia mchepuko nyumba ya mil2.5 Kwa mwezi kwa mwaka mzima badala ya kujadili Mada " Jambo ulilo lishuhudia mtu akifanya TZ ukasema bongo Kweli watu Wana Hela. Wabongo Bana Yani " UNA MUACHA YESU UNA MCHAGUA BARABA" Ndio maana watu wanafeli Sana mitihani. Instead of answering the question, ur talking about the question!!.

Ningeweza kutoa mfano kama Huu hapa chini.

View attachment 2074480


In addition to that hii mada IPO on trending almost Dunia nzima. Hata Kenya juzi kuna comedian anaitwa NJUGUSH amepost Na watu wamefunguka. Nashangaa watz tunashindwa kuelewa concept ndogo kama HII. What's up? Zero IQ or what?

We are very slow AF. Ndio maana kwenye Soko la ajira ( kwenye makampuni/ taasisi) kama Kuna mbongo Na mkenya wanagombania nafasi Moja basi mkenya hupewa kipaumbele.

Niliwahi shuhudia kwenye interview Moja kwenye kampuni ya muhindi, short listed candidates walikuwa wabongo Na wakenya.Basi muhindi kafika kasema

" BHANA BHANA BHANA, WACHA WAKENYA WAANZE KWANZA KUFANYA INTERVIEW DIO NYINGINE TAFATIA BHANA, BARABARA CHEEE! BARABARA CHEE!!!

Alivyopost Njugush watu wamefunguka vitu vingi Sana Na Mimi nimejifunza vitu vingi Na kuwa inspired alot. But TZ dah. Tuendelee Ku discuss Simba Na Yanga Tu.

View attachment 2074493
Yaani hapa tunachangia mada ipi sasa? Ya kulipa milioni 2.5 au ya kukojoa na kutoa laki 5 au ya wakenya kuchangia post ya Njugush au ya Muhindi kusema wanze interview wakenya kwanza?
Umeandika mambo mengi mpaka umepoteza maana ya uzi.
Huyo Njugush wako kaandika mistari miwili tu.
 
Back
Top Bottom