Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Umbea hadi nchi za uamerika na ulaya zipo sana,Ha ha ha...mkuu kuna Jamaa jirani na ofisi yangu kanunua nyumba hizi za Kiswahili 250m kapiga chini ndani ya wiki mbili hivi anapiga slab ghorofa ya kwanza! Ilibidi nifuatilie,nikamuuliza kijana wa mtaani huyu ni Nani na anajenga nini? Lengo kama anajenga offices na vitu kama hivyo naweza kufanya booking kabisa.
Kwahio sometimes kufuatilia is inevitable labda uwe unaishi kisiwani Peke yako!
Umbea ni nature