Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

Ha ha ha...mkuu kuna Jamaa jirani na ofisi yangu kanunua nyumba hizi za Kiswahili 250m kapiga chini ndani ya wiki mbili hivi anapiga slab ghorofa ya kwanza! Ilibidi nifuatilie,nikamuuliza kijana wa mtaani huyu ni Nani na anajenga nini? Lengo kama anajenga offices na vitu kama hivyo naweza kufanya booking kabisa.
Kwahio sometimes kufuatilia is inevitable labda uwe unaishi kisiwani Peke yako!
Umbea hadi nchi za uamerika na ulaya zipo sana,
Umbea ni nature
 
Mada ni kumpangia 'mchepuko' nyumba ya milioni mbili na nusu au kupanga nyumba ya milioni mbili na nusu wakati tayari ameshamjengea ya kwake na wanashindwa kuhamia sababu watoto wanasoma shule ya karibu???

Kama ishu ni kumpangia 'Mchepuko wake' mimi sioni kama ni ishu sababu mchepuko ni majina tu jamii inajiwekea ili wengine wajione bora, huyo ni mwanamke wake na zaidi ni mama wa watoto wake, anafanya hayo kwa ajili ya familia yake nyingine aliyoianzisha kwa furaha zake, nampa pongezi sana huyo mpangaji wako kwa kupenda familia yake,

Na kama ishu ni kuendelea kupanga wakati tayari ana nyumba hapo natofautiana nae, unless wawe wana mkakati mwingine, lakini sababu ya ukaribu wa shule kwa watoto sio sababu ukizingatia shule zilizojaa.
 
1. Kapanga kwenye nyumba yangu.

2. Ukitaka kufanikiwa jifunze Kwa walio fanikiwa Zaidi. Ukitaka kuwa Na Hela nyingi jifunze kutoka Kwa walio Na Hela nyingi Zaidi yako Kwa Sababu torati ya mtaani inasema ukiona mtu ana tengeneza Pesa nyingi kuliko wewe tafsiri yake Ni kwamba MTU huyo ana akili nyingi kuliko wewe

Ukitaka kuwa una spend Hela nyingi kwenye petty issues basi jifunze kutoka Kwa watu wanao spend Hela ndefu kwenye petty issues. I LOVE TO SPEND!! Ooh yes nilifuatilia habari zake Kwa Sababu nilikuwa inspired Na the way he spent his money and guess what I discovered what he is doing and I am doing the same thing now and it pays me alot.

3. Mimi sio mfungwa WA fikra kama wewe. My soul is free like Nelson Mandela. Siogopi kufanya Jambo Kwa Sababu eti watu walio fungwa fikra kama wewe watasema.

# hapa mjini ukiona mtu ana Hela nyingi kuliko wewe tafsiri yake Ni kwamba MTU huyo ana akili nyingi kuliko wewe, ana maujanja mengi ya kutafuta Hela kuliko wewe Na probably ana connection nyingi kuliko wewe so kutaka kujua habari ZA MTU huyo Ni faida kwako..
Kuuza ngada siyo ujanja wala kua na akili nyingi. Kuiga watu wa namna hiyo siyo vema. Mkumbuke Msembo na mkewe
 
Kama unaweza kumpangisha mtu nyumba ya 2.5 M kwa mwezi ,
Huwezi kuandika upupu

Kama unaweza kumpangisha mtu nyumba ya 2.5 M kwa mwezi ,
Huwezi kuandika upupu kama huu.
Bro nisamehe Kwa kukustress . Ni nyumba ya urithi. Tuna I co-own me and my three brothers and five sisters.

But all in all I am regretting to tell u that ur very slow.

Mada inasema " NI KITU GANI ULIONA MTU AKIFANYA UKASEMA TZ WATU WAKO NA HELA?" then nikatoa mfano wangu..

Sio Uzi wa kumjadili jamaa ila Ni kujadili mambo mbalimbali tuliyo ya shuhudia yakifanywa Na watu mbalimbali kiasi cha kitufanya tuseme yes bongo Kuna watu Wana Hela.

Lengo kupeana inspiration ili watu tupambane kutafuta Hela Zaidi.

Mimi nipo DSM but nikisikia Kuna Dogo mkinga WA njombe/makete kanunua ghorofa kariakoo Na Dili anazo piga Ni let's say kilimo cha mchele huko mbeya, naweza kuwa inspired Na Mimi kwenda kuwekeza kwenye kilimo.

Just take it easy . We are not talking about life or death here. Tinapeana inspiration Tu mkuu. Halafu HII Ni challenge ambayo IPO on trending now almost Dunia nzima. Hata juzi Kenya kuna artist anaitwa Njugush amepost HII topic Na watu wamefunguka .

Take it easy bro au potezea Huu Uzi cause ur energy is not needed here. Watu wanataka kuwa inspired

Screenshot_20220108-092818.png
 
1. Kapanga kwenye nyumba yangu.

2. Ukitaka kufanikiwa jifunze Kwa walio fanikiwa Zaidi. Ukitaka kuwa Na Hela nyingi jifunze kutoka Kwa walio Na Hela nyingi Zaidi yako Kwa Sababu torati ya mtaani inasema ukiona mtu ana tengeneza Pesa nyingi kuliko wewe tafsiri yake Ni kwamba MTU huyo ana akili nyingi kuliko wewe

Ukitaka kuwa una spend Hela nyingi kwenye petty issues basi jifunze kutoka Kwa watu wanao spend Hela ndefu kwenye petty issues. I LOVE TO SPEND!! Ooh yes nilifuatilia habari zake Kwa Sababu nilikuwa inspired Na the way he spent his money and guess what I discovered what he is doing and I am doing the same thing now and it pays me alot.

3. Mimi sio mfungwa WA fikra kama wewe. My soul is free like Nelson Mandela. Siogopi kufanya Jambo Kwa Sababu eti watu walio fungwa fikra kama wewe watasema.

# hapa mjini ukiona mtu ana Hela nyingi kuliko wewe tafsiri yake Ni kwamba MTU huyo ana akili nyingi kuliko wewe, ana maujanja mengi ya kutafuta Hela kuliko wewe Na probably ana connection nyingi kuliko wewe so kutaka kujua habari ZA MTU huyo Ni faida kwako..
Iyo no 1 ina onesha jinsi gani wewe ni bogus
 
Nope bro. There is a positive thing in every negative thing.

The guy has money and the money has changed the way he thinks about money.

Matendo yake Yana tafsiri Kile anacho waza kuhusu Pesa.

Ukiwa Na Pesa lazima ikubadilishe Na lazima ibadilishe jinsi unavyo waza kuhusu Pesa.

50 cents when his net-worth was 300 million USD aliwahi kunukuliwa akisema " WHOEVER SAY MONEY HAS NOT CHANGED THEM, HAVE NEVER GOT ENOUGH OF IT" Akimaanisha yoyote asemae kwamba Pesa haijambadilisha basi Jua MTU huyo hajapata Pesa ZA kutosha.

Unayo haki ya kumuita lofa Kwa Sababu hujapata kumiliki Pesa anazo miliki yeye. .

Nilicho jifunza kuhusu Pesa Ni kwamba Kila kitu kinacho semwa kuhusu tabia ZA Pesa Na nguvu ya Pesa is nothing but truth
Unajua kwasababu gani inakuwa hivyo?

Hiyo inatokana na mtu aliyekaa kwenye umasikini kwa kipindi kirefu na siku akabahatika akapata shavu basi utaona ulimbukumbeni kupitia matumizi.

Mara nyingi watu wa namna hiyo sio wale ambao wamekulia katika maisha ambayo familia zao zilikua nzuri kiuchumi.

Kuna mwamba alikua ana haso machimboni siku alivyozipata akapotea chaka, baada ya siku mbili tukamouna insta amepiga picha na celebrity wakike maarufu hapa tanzania.

Lakini baada ya wiki mbili jamaa alirudi akiwa amechoka kapigika hata buku ya muamko hana
 
1. Kapanga kwenye nyumba yangu.

2. Ukitaka kufanikiwa jifunze Kwa walio fanikiwa Zaidi. Ukitaka kuwa Na Hela nyingi jifunze kutoka Kwa walio Na Hela nyingi Zaidi yako Kwa Sababu torati ya mtaani inasema ukiona mtu ana tengeneza Pesa nyingi kuliko wewe tafsiri yake Ni kwamba MTU huyo ana akili nyingi kuliko wewe

Ukitaka kuwa una spend Hela nyingi kwenye petty issues basi jifunze kutoka Kwa watu wanao spend Hela ndefu kwenye petty issues. I LOVE TO SPEND!! Ooh yes nilifuatilia habari zake Kwa Sababu nilikuwa inspired Na the way he spent his money and guess what I discovered what he is doing and I am doing the same thing now and it pays me alot.

3. Mimi sio mfungwa WA fikra kama wewe. My soul is free like Nelson Mandela. Siogopi kufanya Jambo Kwa Sababu eti watu walio fungwa fikra kama wewe watasema.

# hapa mjini ukiona mtu ana Hela nyingi kuliko wewe tafsiri yake Ni kwamba MTU huyo ana akili nyingi kuliko wewe, ana maujanja mengi ya kutafuta Hela kuliko wewe Na probably ana connection nyingi kuliko wewe so kutaka kujua habari ZA MTU huyo Ni faida kwako..

Apo umetufungua mzee likud
 
Mada ni kumpangia 'mchepuko' nyumba ya milioni mbili na nusu au kupanga nyumba ya milioni mbili na nusu wakati tayari ameshamjengea ya kwake na wanashindwa kuhamia sababu watoto wanasoma shule ya karibu???

Kama ishu ni kumpangia 'Mchepuko wake' mimi sioni kama ni ishu sababu mchepuko ni majina tu jamii inajiwekea ili wengine wajione bora, huyo ni mwanamke wake na zaidi ni mama wa watoto wake, anafanya hayo kwa ajili ya familia yake nyingine aliyoianzisha kwa furaha zake, nampa pongezi sana huyo mpangaji wako kwa kupenda familia yake,

Na kama ishu ni kuendelea kupanga wakati tayari ana nyumba hapo natofautiana nae, unless wawe wana mkakati mwingine, lakini sababu ya ukaribu wa shule kwa watoto sio sababu ukizingatia shule zilizojaa.
Umeenda off topic mkuu. Mada Ni Jambo ulilo lishuhudia mtu akifanya ukasema bongo Kuna watu Wana Hela. Na Huo nimetoa kama mfano. Ilitakiwa uje Na experience yako ukoment Jambo ambalo umewahi kuliona MTU akifanya ukasema bongo watu Wana Hela.

Ningeweza kutumia mfano kama vile " NILIKUWA POSTA MJINI DASLAMU KUNA BANGO LIMEANDIKWA USIKOJOE HAPA FAINI SH LAKI TANO. THEN AKATOKEA JAMAA MMOJA AKATAKA KUANZA KUKOJOA MGAMBO AKAMWAMBIA KAKA KAMA UNATAKA KUKOJOA NENDA HAPO KUNA CHOO CHA KULIPIA BUT JAMAA AKASEMA KWANI NIKIKOJOA HAPA KUNA SHIDA GANI MGAMBO AKAMWAMBIA UKIKOJOA HAPO FAINI YAKE LAKI TANO, JAMAA AKAMJIBU MGAMBO BASI USIOGOPE. JAMAA AKAKOJOA AKAMALIZA AKAMPA MGAMBO LAKI TANO AKASEPA ZAKE.

Dont get it out of context
 
Mimi nina jamaa yangu anakunywa sana pombe mara nyingi hua nakua nae lakini huwa na mkimbia huyu jamaa yangu ni msiri sana katika mambo yake sasa kuna siku moja kuna jamaa alinionq nae,,siku iliofatia jamaa alinifata ofisini kwangu akasema yule jamaa uliekua nae ni nani yako na unamjua mi nikamjibu ndio ni jamaa yangu wa siku nyingi tu basi jamaa kusikia vile akaanza kusema aisee basi we upo vizuri kama jamaa yako mi nikaguna kivipi ndugu yangu we si unaona ofisi yangu ndo hii sasa hzo hela nyingi natoa wapi basi jamaa kusikia namwambia mi nipo kawaida tu ndo akaanza kumwaga siri za huyu jamaa yangu kwanza akanambia huyu jamaa yako unajua kua anasimamisha hotel mbili za gorofa tano kwa pamoja zote nikasema sijui akasema unajua sehemu fulani anajenga tena hotel nikasema sijui akasema kwake unapajua nikasema ndio napajua akasema ile nyumba anayokaa we unafikiri ni ya kawaida nikamwambia hapana ni nyumba nzur basi akasema huyu mwenzio ana hela sana apa mjini jifunze kitu toka kwake basi ikabidi nianze kumdadisi kidogo namna ta kufanikiwa aisee jamaa hua ananiambia tu saving ndo inayofanya mambo yote dah aisee kweli nilichoka mana kwa hesabu za haraka haraka saving alionayo yeye basi sio ya kawaida kweli mafanikio ni siri sana watu waliofanikiwa huwa hawasemi mafanikio yao ila mjini humu watu wana hela sana kiasi kwamba ukiwa nao karibu unaweza kujifunza ama kujiongezea stres tu
 
I agree with you
 
Mada ni kumpangia 'mchepuko' nyumba ya milioni mbili na nusu au kupanga nyumba ya milioni mbili na nusu wakati tayari ameshamjengea ya kwake na wanashindwa kuhamia sababu watoto wanasoma shule ya karibu???

Kama ishu ni kumpangia 'Mchepuko wake' mimi sioni kama ni ishu sababu mchepuko ni majina tu jamii inajiwekea ili wengine wajione bora, huyo ni mwanamke wake na zaidi ni mama wa watoto wake, anafanya hayo kwa ajili ya familia yake nyingine aliyoianzisha kwa furaha zake, nampa pongezi sana huyo mpangaji wako kwa kupenda familia yake,

Na kama ishu ni kuendelea kupanga wakati tayari ana nyumba hapo natofautiana nae, unless wawe wana mkakati mwingine, lakini sababu ya ukaribu wa shule kwa watoto sio sababu ukizingatia shule zilizojaa.
Unaweza kukuta ame pangisha nyumba yake kwa bei Mala mbili na anayo Lipa kwa jamaa kwaiyo Hana hasara ni faida tuu

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Umeenda off topic mkuu. Mada Ni Jambo ulilo lishuhudia mtu akifanya ukasema bongo Kuna watu Wana Hela. Na Huo nimetoa kama mfano. Ilitakiwa uje Na experience yako ukoment Jambo ambalo umewahi kuliona MTU akifanya ukasema bongo watu Wana Hela.

Ningeweza kutumia mfano kama vile " NILIKUWA POSTA MJINI DASLAMU KUNA BANGO LIMEANDIKWA USIKOJOE HAPA FAINI SH LAKI TANO. THEN AKATOKEA JAMAA MMOJA AKATAKA KUANZA KUKOJOA MGAMBO AKAMWAMBIA KAKA KAMA UNATAKA KUKOJOA NENDA HAPO KUNA CHOO CHA KULIPIA BUT JAMAA AKASEMA KWANI NIKIKOJOA HAPA KUNA SHIDA GANI MGAMBO AKAMWAMBIA UKIKOJOA HAPO FAINI YAKE LAKI TANO, JAMAA AKAMJIBU MGAMBO BASI USIOGOPE. JAMAA AKAKOJOA AKAMALIZA AKAMPA MGAMBO LAKI TANO AKASEPA ZAKE.

Dont get it out of context
Off topic tena, daah asa itakuaje [emoji3][emoji3]
 
Kuuza ngada siyo ujanja wala kua na akili nyingi. Kuiga watu wa namna hiyo siyo vema. Mkumbuke Msembo na mkewe

Aisee katika hukumu ya ngada ya tanzania kua ya kikatili ni hii ya huyu nsembo na mkewe yani ni bonge moja ya hukumu sijui jamaa alikua na kiwango gani cha huo uarifu? Ukiangalia wengine walifungwa vifungo vya miaka 20 mpka 30 ila yeye ni kitu kizito na utaifishaji wa mali [emoji22][emoji22]
 
1. Kapanga kwenye nyumba yangu.

2. Ukitaka kufanikiwa jifunze Kwa walio fanikiwa Zaidi. Ukitaka kuwa Na Hela nyingi jifunze kutoka Kwa walio Na Hela nyingi Zaidi yako Kwa Sababu torati ya mtaani inasema ukiona mtu ana tengeneza Pesa nyingi kuliko wewe tafsiri yake Ni kwamba MTU huyo ana akili nyingi kuliko wewe

Ukitaka kuwa una spend Hela nyingi kwenye petty issues basi jifunze kutoka Kwa watu wanao spend Hela ndefu kwenye petty issues. I LOVE TO SPEND!! Ooh yes nilifuatilia habari zake Kwa Sababu nilikuwa inspired Na the way he spent his money and guess what I discovered what he is doing and I am doing the same thing now and it pays me alot.

3. Mimi sio mfungwa WA fikra kama wewe. My soul is free like Nelson Mandela. Siogopi kufanya Jambo Kwa Sababu eti watu walio fungwa fikra kama wewe watasema.

# hapa mjini ukiona mtu ana Hela nyingi kuliko wewe tafsiri yake Ni kwamba MTU huyo ana akili nyingi kuliko wewe, ana maujanja mengi ya kutafuta Hela kuliko wewe Na probably ana connection nyingi kuliko wewe so kutaka kujua habari ZA MTU huyo Ni faida kwako..
Siyo kweli kwamba mwenye hela nyingi kuliko mimi ana akili nyingi kuliko mimi
 
Back
Top Bottom