Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

Pengine hiyo nyumba kali aliyojenga ataweka mpangaji atakayelipa zaidi ya 2.5 million kwa mwezi
 
Saving kutoka wapi? Ya kujenga ghorofa 2 kwa mpigo😅!!!
Savings has alot to do about how much you earn.
 
Mkuu watu wana hasira sana. Kitu simple tu wanachukulia so serious!

Ni umasikini mkuu
Kujadili na maskini inataka moyo

Hebu muangalie huyu tajiri Dubai Rolls Royce yake ni $800,000
Ila number plate #5 kanunua kwa $9m

Sasa masikini hapo povu litamtoka na kusema linajionyesha tu hilo halina lolote [emoji23][emoji23]

Mimi nimeisha mjengea mwanangu nyumba akiwa bado shule na anajua ni yake
Sasa hapo natafuta sifa kwa nani kwa mfano

Ufukara ni laana na sio jambo zuri
 
Watu wengine hawana savings Bali wanahela nyingi sana hata watumie vipi zinabaki nyingi sana.
Hahahahahah yeah kuna watu hawana haja ya ku save! Pesa inayoingia vyanzo ni vingi mno au vichache ila vinaingiza pesa ndefu sana.

Kuna mtu anaweza tumia 5M on a 3 day movement to kwenda places akiwa na familia yake. Ila kwa low income earner anaweza kuhisi miujiza. Mtu kama huyu unakuta anaingiza 50M kila week toka vyanzo vyake vya mpunga!
 
GT si useme tu ni wewe Ndo ulinunua iyo nyumba ukabomoa nakujenga ikawa huyo jamaa unaodai ni wewe akawa anaulizia ulizia?
 
Saving kutoka wapi? Ya kujenga ghorofa 2 kwa mpigo[emoji28]!!!
Savings has alot to do about how much you earn.

Kaka mi nimebak kama muangaliaj tu wa uyu jamaa yangu juzi kati kavuta prado moja matata sana na bar akianza kunywa ni mpka kesho saa 11 afu jumapili kanisani kama kawa na apo anaenda kanisan huku home amerudi saa 11 aisee maisha haya matajiri wa michongo ni waongo waongo sana huwa wanasema savings tu sasa apo ndo najiuliza mwenzangu anafanya saving gani na sio kwamba ni mfanya biashara ni mfanyakazi tu wa kampun flani hiv
 
Watu wengine hawana savings Bali wanahela nyingi sana hata watumie vipi zinabaki nyingi sana.

Kabisa kabisa mkuu kuna watu wanahela nyingi ambazo hata kukuambia zinavopatikana inakua ni ngumu mtu account za benk anazo karibia zote sasa apo si balaa
 
Mafanikio ya mtu yana siri kubwa sana kamwe hutakaa uelewe😅 mambo ni mengi!
 
kwenye neighborhood ambayo nakaa, watu wanashindana ku-renovate majumba yao kila siku na wengine wanajenga mapya kila siku.

yaani hii neighborhood kuanzia january to december activities za masuala ya ujenzi hazijawahi kusimama. kila mtu anataka jumba lake liwe na u-unique fulani. hawataki kufanana.

huwa nakaa nasema,kumamake walahi, hawa wasenge wana pesa za kuchezea.




 
Yaani hapa tunachangia mada ipi sasa? Ya kulipa milioni 2.5 au ya kukojoa na kutoa laki 5 au ya wakenya kuchangia post ya Njugush au ya Muhindi kusema wanze interview wakenya kwanza?
Umeandika mambo mengi mpaka umepoteza maana ya uzi.
Huyo Njugush wako kaandika mistari miwili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…