EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Why?give me a chance to take you life by any meansMimi I wish to die
Kauli huumbaMimi I wish to die
Nilikuwa nasubiri jibu ilo ilo maana Jamii wapo obsessed kweli na iyo😂😂😂
Hujafunguka kabisa mkulungwaUmaskini
Uchawi
NJAA
We mwache tu,jua halizami leo atakuwa amepata cha haja ya moyo wakeKauli huumba
UMASKINI!Kuna vitu tumekua tunaogopa au kuhofia visije kutupata katika maisha yetu tukianza na mimi hivi ni miongoni mwa vitu ambavyo vinanisababishia hofu
Kupata ajali ya aina yoyote pikipiki au gari...
fedheha mbaya, imenikuta juzi nimeropoka jambo nikiwa nimelewa sasa watu wananihisije sijuiFedheha ya aina yeyote ile naiogopa.
Ulisemaje katika hilo ropoko lakofedheha mbaya, imenikuta juzi nimeropoka jambo nikiwa nimelewa sasa watu wananihisije sijui
Wanajua ni pombe usiwaze..fedheha mbaya, imenikuta juzi nimeropoka jambo nikiwa nimelewa sasa watu wananihisije sijui
ni kweli lakini jambo zito sana mpaka leo sina amani Mkuu na pombe nimeachaWanajua ni pombe usiwaze..
Haya sawaaHamna bebi
Nilisubiri kuona hii comment, [emoji23][emoji23][emoji23]
kuna family friend nilimwambia nitamkula, nilimfananisha nadhani na muhudumu fulani alikuwa kanikeraUlisemaje katika hilo ropoko lako
[emoji28][emoji28][emoji28]Why?give me a chance to take you life by any means