Ni kitu gani unahofia/unaogopa kisikupate mpaka unaimaliza safari duniani?

Mkuu wewe bora ufe tuu maana kila kitu unakiogopa. Hapo mm ninachokiogopa ni kutolewa marinda tuu.
 
Bantu Lady would you please share something with us
 
Man, kuwa chizi afu utembee uchi ni bora kifo !!! i really feel bad nikimuona mtu ni chizi alafu yupo uchi
Dah hakuna kitu kinaniumizaga moyo wangu, kuingiwa huruma sana plus masononeko kama nikimuona mtu mwenye hali hiyo. Huwa nawaombea na kujiombea.

Lakini kuna wapuuzi wanawakebehi hawa watu sijui wanajiskiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…