Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
😂😂😂😂😂😂😂😂Mi binafsi pombe,naipenda na yenyewe inanipenda kwanza nimetoka nayo mbali na kama kuniharibia maisha imeshaniharibia sana kiasi kwamba hata nikiiacha sasa hivi haina maana,hebu fikiria toka enzi hizo nanywea hela ya ada ndo nije niiache leo?