Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Wivu kama nikimpenda mtu alaf nakua too caring ile kutaka kuchat kila saa kutaka kuwasiliana kila mda inakua kama ni usumbufu kwa mwingne
Hahahahah wivu ni mzuri ila ukizidi ni kero
 
Sio mpk mahusiano ya kimapenzi ila mtu akiniomba msamaha kwa kutamka nisamehe niko dhaifu sana hata kabla hajajielezea Sana akisema tu naomba unisamehe najikuta mdogoo km piriton,, ila mie sijui kuomba msamaha kirahisi rahisi,
Heee tatizo hilo! Yani we kuomba msamaha huwezi ila unataka uombwe mrembo?
 
Yes na mimi nina hii. Yaani kucheat naona kama ni usumbufu flani. Sipendi maisha ya kujificha ficha na kujibanana misa una watu wengi.

Sema sasa mwanamke akishajua una yeye peke yake visa vinakuwa vingi
Hata mimi na hivyo visa vimenikuta sana kisa anaona yupo peke yake ila mimi hivyo visa ndivyo vinanifanya nihamie tawi nyingine. Sitakagi kero za makusudi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom