Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
HASIRA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ni mazoea tu kuna girl ni mkubwa tu nlikua nae yeye usipotuma text ya kumuaga like usiku mwema iyo kesho yake ni ugomvi mkubwa.Kweli lakini mi mwenyewe saivi siwezi kuchat muda wote tumeshakua Sasa
Haha atakua anakupendaNadhani ni mazoea tu kuna girl ni mkubwa tu nlikua nae yeye usipotuma text ya kumuaga like usiku mwema iyo kesho yake ni ugomvi mkubwa.
Hatari sana hiiHasira,nikifura sitamaniki kiukweli
Tabia nzuri sana hii....kama vipi nije pm tuyajenge.Nna wivu sana na kulia lia kama mjinga, yaani nikipiga simu usipopokea , ukija kupokea unasikia kilio kuuliza ulikua unafanya nini hukupokea muda wote.ila ukinibembeleza kidogo tu fasta yameshaisha tunaendelea kuongea[emoji23]
Nataman kuponaHatari sana hii
MmhTabia nzuri sana hii....kama vipi nije pm tuyajenge.