Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Kweli lakini mi mwenyewe saivi siwezi kuchat muda wote tumeshakua Sasa
Nadhani ni mazoea tu kuna girl ni mkubwa tu nlikua nae yeye usipotuma text ya kumuaga like usiku mwema iyo kesho yake ni ugomvi mkubwa.
 
Nna wivu sana na kulia lia kama mjinga, yaani nikipiga simu usipopokea , ukija kupokea unasikia kilio kuuliza ulikua unafanya nini hukupokea muda wote.ila ukinibembeleza kidogo tu fasta yameshaisha tunaendelea kuongea[emoji23]
Tabia nzuri sana hii....kama vipi nije pm tuyajenge.
 
Udhaifu wangu ni Tendo yaani siwazagi kabisa mpaka nakumbushwa vipih mbona nipo hivi
Juzi ndo balaaaa mtoto wa mtu kaniambia hivi "hivi Sam mimi na wewe siku hizi ni marafiki? Duuh mpaka nikakosa nguvu
 
Back
Top Bottom