Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

[emoji3][emoji3][emoji3]Eti mpendwa ana kuvumilia kwa kipi wifii yetu
Kujieleza siwezi,nina kigugumizi kikali.
Ni mtetezi wangu muda wote,aliwahi kufumania mawasiliano ya sms,kuniuliza nikashindwa kujieleza,magego yalikakamaa,kupumua kukawa kwa shida huku najipiga piga mapajani. Alichonitamkia siku hiyo "nitaufunika ungo nikuue"....
Akamfuata msichana kumwambia asirudie kunitongoza tena.
Tunaishi kwa kuteteana na tumesha zeeshana.
 
😀😀😀Hongera kwa wifi
 
Mimi udhaifu wangu ni wivu + hasira mixer kulia yaani nikipiga simu haijapokelewa roho inakua juu akijapokea baadaye naanza hadi kulia nikihisi alikua anachepuka huko then natangaza tuachane tu, baadaye hasira zikiisha ndiyo naanza kujiuliza hivi why nimemwambia tuachane wakati nampenda sana hivi ?narudi namwandikia gazeti la kumuomba msamaha tena na kusisitiza nampenda ni wivu tu wa upendo asiniache. Hamuwezi amini ila niliachwa sababu ya wivu na kulia. Nikabembeleza sana aah hakurudi ng'oo.[emoji848]
Unajua unaweza mpoteza mtu ambaye hutokuja ukutane na mtu Kama yeye,,,Hadi unajuta
 
Mmh nisijipe moyo hapo dear! Hawezi kurudi amepata mwingine bonge la pisi mtoto mzurii, hawezi kurudi kwa mkulima mimi[emoji23][emoji23]

How it feels kuona Ex wako yupo na mtoto mkali kukuzidi[emoji25][emoji25]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom