Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Mi nikianza uhusiano huwa sina mapenz ya dhati Ila kadri SKU znavyokwenda naanza kupenda Hasa najikuta nakuwa mtumwa na msumbufu yaani napenda kupitilza na sina tabia za michepuko natesekaga sana na hii hali jamani
 
Nahisi weakness yangu kubwa huwa siwezi ukicheche kabisa, nikimpenda mmoja ndio basi nashindwa ile tabia ya ki ngedere kuhama hama miti hali inayopelekea usumbufu mtu akishajua nampenda kweli na kumjali sana.
Upo kama mimi, mpaka masela kitaa huwa wanajua mimi labda nina matatizo lakini ndivyo nilivyoumbwa. Nikimpenda mmoja basi ni huyo huyo mpaka tu break up! Ila nakua na marafiki wa kike baadhi ili kuyeyushia stress kwa stories tukiachana na nimpendae japokua kumsahau ni mpaka ipite miezi mingi mno, afu siachagi mwanamke mara nyingi mpaka anichoke yeye tu labda.
 
Mm sina wivu and cjui kukubembeleza tuendelee kuwa wote

Kuhonga mm ndio master Ila ukininyima papa pesa zangu ndio zimekata

But napenda mwanamke mwenye yupo available muda wote kwa ajili yangu
 
Mimi udhaifu wangu ni wivu + hasira mixer kulia yaani nikipiga simu haijapokelewa roho inakua juu akijapokea baadaye naanza hadi kulia nikihisi alikua anachepuka huko then natangaza tuachane tu, baadaye hasira zikiisha ndiyo naanza kujiuliza hivi why nimemwambia tuachane wakati nampenda sana hivi ?narudi namwandikia gazeti la kumuomba msamaha tena na kusisitiza nampenda ni wivu tu wa upendo asiniache. Hamuwezi amini ila niliachwa sababu ya wivu na kulia. Nikabembeleza sana aah hakurudi ng'oo.🤔
 
Back
Top Bottom