Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nishausema.Mimi naona sina udhaifu... wako ni upi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishausema.Mimi naona sina udhaifu... wako ni upi
Mimi shida yangu ni kuhonga. Siwezi kabisa nikitoa hata buku basi nitafunga week nzimaNishausema.
Alafu unajiita mwanaume!!! [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mimi shida yangu ni kuhonga. Siwezi kabisa nikitoa hata buku basi nitafunga week nzima
Mimi huwa sijiiti ila naitwa.Alafu unajiita mwanaume!!! [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nimecheka sanaMimi shida yangu ni kuhonga. Siwezi kabisa nikitoa hata buku basi nitafunga week nzima
HahaNimecheka sana
tunafanana sana.. ndugu / marafk wananiona boya kabsa najitoa kuptilza halafu na huruma sana!! spend nione mwanaume kwa ajil yangu nackia uchungu kama vile mie ndie niliyemzaamie napenda( Kifala)! nataman kuacha lakini najikuta nashindwa... namjali sana mwenzangu kuliko mie mwenyewe!
kwa waafrica ni uzwazwa tu
cpend kuona mwanaume analia kwa ajil yangtunafanana sana.. ndugu / marafk wananiona boya kabsa najitoa kuptilza halafu na huruma sana!! spend nione mwanaume kwa ajil yangu nackia uchungu kama vile mie ndie niliyemzaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Raha ya kudeka upate wa kukudekeza.Wivu jamanii mpk nakonda, na kuwa na hasira za karibu kutaka kuchat na mwenzangu muda wote sijali hata km anakazi
Kingine kubembelezwa/kudekaaa jamanii hapa ndiyo mwisho wa kila kitu napenda san@ kudeka
Haswaaaa,Raha ya kudeka upate wa kukudekeza.
[emoji3] [emoji3] acha wajae tu nitawabembeleza kwann walie jaman wakat tumeumbwa kwa ajil yao..Maneno ya hatari haya, pm yako itajaa saaasa hivi huku jamaa wakijiliza... wewe subiri tu😀
tunafanana sana.. ndugu / marafk wananiona boya kabsa najitoa kuptilza halafu na huruma sana!! spend nione mwanaume kwa ajil yangu nackia uchungu kama vile mie ndie niliyemzaa
Sent using Jamii Forums mobile app
mi sa iv nawaza yangu maana nlipokuwa kwenye matatizo ndo nikajua cna mtu anayenijal na kunitamkia HANIHITAJ TENA niliumia jinc nilivyokuwa najitoa kwake namuhudumia mwanaume kwa kila kitu mpaka pesa za kwenda interview na kulala lodge.. kumbe nilikuwa najisumbua.. kwa sasa R.I.P. Hurumashoga hata mie had frnds unaona kbs wanakutumia! khaa iwe kwenye biashara wanakufuja tu pesa zako ukiwa na shida wanakaa kuleeee!! a hehhe! mie mume akiniambia dah leo sina kitu sijui nakula nn mchana job yaan tumbo huwa linavurugaaaa linakatakbs! unampa,bas siku apate yy walau akutupie chochote walaaaaaaaaaaaaaa! yaan utajiongelesha huna hela kuna kitu unataka yaan hajigusi! hv huu sio UCHAWI KWELI?bwana huu ni uchawi!
ndo tukome sho....mie sasahv nipo radhi kuspend hela kwasabb ya wanangu full stop....
naomba niongezee na vichache hapoWivu kama nkimpenda mtu alaf nakua too caring ile kutaka kuchat kila saa kutaka kuwasiliana kila mda inakua kama ni usumbufu kwa mwingne
Sent using Jamii Forums mobile app
wacha weeeeeNinapenda kukumbatiwa jamani ... Yaani hata kama umeniudhije ila ukishanikumbatia tu nayeyukaga kama asali ... Napenda mikumbato basi tu ....