Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Wakuu habari.

Kuna huu msemo kua hakuna aliekamilika chini ya jua. Hivyo kila mtu ana madhaifu yake, unaweza kua unaujua udhaifu wako au huujui lakini bado utakua na mapungufu flani kadha wa kadha.

Mimi udhaifu wangu mkubwa ni u laissez faire na kua too gentleman. Mimi hua sio mtu wa kutake things serious sana, lakini pia mimi ni mnyenyekevu au mpole sana hasa kwenye mahusiano.

Hadi mama yangu aliwahi kuniambia kua wanawake watakua wananiendesha sana. Mimi hua siwezi kumgombeza mwanamke au kumkemea hata akinikosea,.

Binafsi naona udhaifu wangu kwa wanawake umepitiliza kikomo ila sina jinsi ya kufanya, niko mpole sana.

Hayo ndio madhaifu yangu, wewe nini udhaifu wako hasa kwenye mahusiano.

Ahsante.
Wewe ndo nakutaka ili nikunyanyase,make hutanifokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi sa iv nawaza yangu maana nlipokuwa kwenye matatizo ndo nikajua cna mtu anayenijal na kunitamkia HANIHITAJ TENA niliumia jinc nilivyokuwa najitoa kwake namuhudumia mwanaume kwa kila kitu mpaka pesa za kwenda interview na kulala lodge.. kumbe nilikuwa najisumbua.. kwa sasa R.I.P. Huruma

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahaha niliwah ifanya na mie hyo ya kusafirisha mtu aende for interview mkoa na kulipia had lodge tetete! yaliyonikuta siamin ikama nipo hai had leo dadek! hha!hahaha!pole... mie hata sasa hv niambiwe una 500 hapo nasema sina hata mia!

stry yako imenirudisha kihisia sana mwaka mmoja nyuma dah!tukome tu
 
Kwa kweli hata mimi wivu ni shida,kutaka kuchart kila muda.Napenda kupigiwa simu au kupiga mara nyingi niongee nisikie sauti ya nimpendae.Napenda kupitiliza mpaka naumia mwenzangu asipojali hisia zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha niliwah ifanya na mie hyo ya kusafirisha mtu aende for interview mkoa na kulipia had lodge tetete! yaliyonikuta siamin ikama nipo hai had leo dadek! hha!hahaha!pole... mie hata sasa hv niambiwe una 500 hapo nasema sina hata mia!

stry yako imenirudisha kihisia sana mwaka mmoja nyuma dah!tukome tu
Ni kwel!! mim hata mia sitatoa tena kwa kwel.. cwez rudia tena huo upuuz nimejifunza kutokana na makosa.. tenda wema uende zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwel!! mim hata mia sitatoa tena kwa kwel.. cwez rudia tena huo upuuz nimejifunza kutokana na makosa.. tenda wema uende zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo wangu ni dhaifu sana.. nimeamua kuwa peke yangu naona ndo nakuwa huru na mwenye aman sana... maana nikiwa na mtu namfikiria sana mpaka nakonda.. sasa na relax acha niitwe tu selfish.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom