Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Mimi shida yangu ni kuhonga. Siwezi kabisa nikitoa hata buku basi nitafunga week nzima
Alafu unajiita mwanaume!!! [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Nimejifunza mengi kwenye huu uzi.

Binafsi huwa sina hasira.
Ila ukinikosea huwa nakwambia pale pale sisubiri kesho tabia ya kukaa na madukuduku ya ovyo moyoni siwezi kabisa
Nakwambia ukweli kama unaakili ya kuelewa utajirekebisha na maisha yataendelea tu.
Tabia ya kuwekeana madukuduku itakuja kutufanya tushindwe kusameheana kwasababu umejaza makosa ya mwenzi wako kibao mwisho wa siku kila anachofanya utakiona kibaya.
So kwangu ukifanya jambo nisilo lipenda nakukwambia ukweli ili mwenyewe ukapepete huko magugu na ngano.
 
Wivu jamanii mpk nakonda, na kuwa na hasira za karibu kutaka kuchat na mwenzangu muda wote sijali hata km anakazi

Kingine kubembelezwa/kudekaaa jamanii hapa ndiyo mwisho wa kila kitu napenda san@ kudeka
 
mie napenda( Kifala)! nataman kuacha lakini najikuta nashindwa... namjali sana mwenzangu kuliko mie mwenyewe!
kwa waafrica ni uzwazwa tu
tunafanana sana.. ndugu / marafk wananiona boya kabsa najitoa kuptilza halafu na huruma sana!! spend nione mwanaume kwa ajil yangu nackia uchungu kama vile mie ndie niliyemzaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivu jamanii mpk nakonda, na kuwa na hasira za karibu kutaka kuchat na mwenzangu muda wote sijali hata km anakazi

Kingine kubembelezwa/kudekaaa jamanii hapa ndiyo mwisho wa kila kitu napenda san@ kudeka
Raha ya kudeka upate wa kukudekeza.
 
Sipigagi simu za kipuuzi eti nimekumiss mara ushakula!? Mwanaume mzima unauliza mwanamke eti ushakula wakati ni wajibu wake kupika na kula.
 
tunafanana sana.. ndugu / marafk wananiona boya kabsa najitoa kuptilza halafu na huruma sana!! spend nione mwanaume kwa ajil yangu nackia uchungu kama vile mie ndie niliyemzaa

Sent using Jamii Forums mobile app

shoga hata mie had frnds unaona kbs wanakutumia! khaa iwe kwenye biashara wanakufuja tu pesa zako ukiwa na shida wanakaa kuleeee!! a hehhe! mie mume akiniambia dah leo sina kitu sijui nakula nn mchana job yaan tumbo huwa linavurugaaaa linakatakbs! unampa,bas siku apate yy walau akutupie chochote walaaaaaaaaaaaaaa! yaan utajiongelesha huna hela kuna kitu unataka yaan hajigusi! hv huu sio UCHAWI KWELI?bwana huu ni uchawi!

ndo tukome sho....mie sasahv nipo radhi kuspend hela kwasabb ya wanangu full stop....
 
mi sa iv nawaza yangu maana nlipokuwa kwenye matatizo ndo nikajua cna mtu anayenijal na kunitamkia HANIHITAJ TENA niliumia jinc nilivyokuwa najitoa kwake namuhudumia mwanaume kwa kila kitu mpaka pesa za kwenda interview na kulala lodge.. kumbe nilikuwa najisumbua.. kwa sasa R.I.P. Huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom