Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Mi binafsi pombe,naipenda na yenyewe inanipenda kwanza nimetoka nayo mbali na kama kuniharibia maisha imeshaniharibia sana kiasi kwamba hata nikiiacha sasa hivi haina maana,hebu fikiria toka enzi hizo nanywea hela ya ada ndo nije niiache leo?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ninazo mbili.
Weakness yangu ya kwanza ni kukosaa wivu. sina wivu hata tone yaani. sikagui simu ya mtu,Nikiuliza uko wapi utakachonijibu ndicho nitachoamini. Si suspect mtu eti mbona anachati Sana au ana bby mwingine akhaaa. Siwezi yaani hadi ni mejaribu kufake wivu siweziiiii. yaani mi nakuamini tu .. Sasa hii inanileteaga matatizo kwa niwapendao wanaona kama siwajali,kumbe mi nawapenda tu kindakindakiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...

Weakness ya pili ninafollow moody za partner kama mbaya au nzuri I'll dance accordingly.
 
Hee nimekupenda bure.you dance accordingly
 
Come on dear, i will Love You, the way you like.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maanaake akinuna na wewe unanuna pia ama inakuwaje?
 
Wivu kama nikimpenda mtu alaf nakua too caring ile kutaka kuchat kila saa kutaka kuwasiliana kila mda inakua kama ni usumbufu kwa mwingne
Hii kitu hata mimi siipendi. Ni kweli unakua umependwa ila daah huo usumbufu wa kutaka kuchart kila mda siuwezi kwakweli.

Sometimes uko na washkaji mnapiga story ama uko job mtu anataka mchart sijui apige sim muongee cha kuongea chenyewe hamna zaid ya nambie nambie.
 
Kweli lakini mi mwenyewe saivi siwezi kuchat muda wote tumeshakua Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…