Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

huwa sijali chochote kwenye mahusiano, sina hasira wala kumgombeza mtu. kuna ga aliwahi chepuka na jamaa yangu na nkafahamu nikamwambia huku full tabasamu.

akajua ntampiga/kumgombeza walaaa niko na habari zangu. mwezi mmoja aliomba tuachane et mtu gani hujali lolote. sasa nikawaza alikuwa ananikosea kuona reaction yangu ama.

mwingine msg iliingia wana bebika na x wake nkaisoma ile ananiaga nikamwambia amsalimie jamaa (maaa nilisoma conv. yao yote) kaishiwa ozi nae wimbo wake ni why sijali
 
Wivu kama nkimpenda mtu alaf nakua too caring ile kutaka kuchat kila saa kutaka kuwasiliana kila mda inakua kama ni usumbufu kwa mwingne

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika jambo linalonishinda kwenye mahusiano ni hilo,la kupigiana simu kila mara,sms kwa wingi,kila unakokuwa location yako iwe inajulikana,ukowapi,unafanya nini umekula,yaan aisee siwezi kabisa.Napenda kuwa huru,kuwa na my own space,mambo ya kugandana kama luba siyawezi,na ndo maana niko singo[emoji2]
 
Wivu jamani hivi hakunaga dawa ya hii kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu mara nyingi unahusishwa na insecurity(maneno ya wataalam) kutokujiamini na atachment.Mana hata uwe na wivu tani ngapi akiamua kuchepuka atachepuka tu so haina haja,ila wivu ukiwa wa kiasi elekezi inakuwa vere sexy.Mi huwa nkiwa na mtu huwa sijisumbui kabisa kumlinda kama mfungwa mara kukagua simu etc,If I love u then I trust you,as long as sijakukamata na ushahidi then sina sababu ya kukutilia mashaka.
 
huwa sijali chochote kwenye mahusiano, sina hasira wala kumgombeza mtu. kuna ga aliwahi chepuka na jamaa yangu na nkafahamu nikamwambia huku full tabasamu.

akajua ntampiga/kumgombeza walaaa niko na habari zangu. mwezi mmoja aliomba tuachane et mtu gani hujali lolote. sasa nikawaza alikuwa ananikosea kuona reaction yangu ama.

mwingine msg iliingia wana bebika na x wake nkaisoma ile ananiaga nikamwambia amsalimie jamaa (maaa nilisoma conv. yao yote) kaishiwa ozi nae wimbo wake ni why sijali
Hongera mkuu,hiyo kitu kwenye budhism inaitwa detachment,mie nakaribia kufika level yako.
 
Katika jambo linalonishinda kwenye mahusiano ni hilo,la kupigiana simu kila mara,sms kwa wingi,kila unakokuwa location yako iwe inajulikana,ukowapi,unafanya nini umekula,yaan aisee siwezi kabisa.Napenda kuwa huru,kuwa na my own space,mambo ya kugandana kama luba siyawezi,na ndo maana niko singo[emoji2]
Mim nakua hvyo kama cjakupenda bt nikikupenda wee utajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim nakua hvyo kama cjakupenda bt nikikupenda wee utajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine unafanya kazi inayohitaji umakini,au una movement nyingi kila siku,huo muda wa kuanza kuchat siku nzima unaupata wapi?.sisemi msichati kabisa lakini kuna ile ya kistaarabu,mnachat jioni,mkiwa mshamaliza majukumu na mumetulia,mchana inakuwa kujuliana hali na mesej mbili tatu za kupeana motivation,na asubuhi vivyohivyo.Lakini sio kila dakika baby ivi,baby vile khaah,utafikiri wanafunzi,au ndo kwanza mnajifunza mapenzi bana,ndo maana mie napenda niwe na mwenza anayejishuhulisha, kuepuka hizo bugdha
 
huwa sijali chochote kwenye mahusiano, sina hasira wala kumgombeza mtu. kuna ga aliwahi chepuka na jamaa yangu na nkafahamu nikamwambia huku full tabasamu.

akajua ntampiga/kumgombeza walaaa niko na habari zangu. mwezi mmoja aliomba tuachane et mtu gani hujali lolote. sasa nikawaza alikuwa ananikosea kuona reaction yangu ama.

mwingine msg iliingia wana bebika na x wake nkaisoma ile ananiaga nikamwambia amsalimie jamaa (maaa nilisoma conv. yao yote) kaishiwa ozi nae wimbo wake ni why sijali
Kwanzia leo wewe ni role model wangu mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom