Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

huwa sijali chochote kwenye mahusiano, sina hasira wala kumgombeza mtu. kuna ga aliwahi chepuka na jamaa yangu na nkafahamu nikamwambia huku full tabasamu.

akajua ntampiga/kumgombeza walaaa niko na habari zangu. mwezi mmoja aliomba tuachane et mtu gani hujali lolote. sasa nikawaza alikuwa ananikosea kuona reaction yangu ama.

mwingine msg iliingia wana bebika na x wake nkaisoma ile ananiaga nikamwambia amsalimie jamaa (maaa nilisoma conv. yao yote) kaishiwa ozi nae wimbo wake ni why sijali
Unaweza kuua mtu mkuu...
 
Imagine unafanya kazi inayohitajibu makini,au una movement nyingi kila siku,huo muda wa kuanza kuchat siku nzima unaupata wapi?.sisemi msichati kabisa lakini kuna ile ya kistaarabu,mnachat jioni,mkiwa mshamaliza majukumu na mumetulia,mchana inakuwa kujuliana hali na mesej mbili tatu za kupeana motivation,na asubuhi vivyohivyo.Lakini sio kila dakika baby ivi,baby vile khaah,utafikiri wanafunzi,au ndo kwanza mnajifunza mapenzi bana,ndo maana mie napenda niwe na mwenza anayejishuhulisha, kuepuka hizo bugdha
Upo kama Mimi. Muda mwingi nakuwa busy na vikao vya hapa na pale. Halafu mwenzako anataka kuchat, huwa sijibu hizo txt hadi jioni ninapokuwa nimetulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udhaifu wangu kupenda kucontrol mwanaume ninaokuwa nao kwenye uhusiano, Nikiwaa na mwanaume natka kadi zake za benki niwe nazo mimi kila kitu chake kiwe chini yanguuu, uzuri naokutana nao hawana shida ju ya hilo.
 
Back
Top Bottom