Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Nahisi weakness yangu kubwa huwa siwezi ukicheche kabisa, nikimpenda mmoja ndio basi nashindwa ile tabia ya ki ngedere kuhama hama miti hali inayopelekea usumbufu mtu akishajua nampenda kweli na kumjali sana.
Hilo ndo tatizo kubwa kwa wadada wa kiafrika. Unavyoonesha upendo zaidi kwao wao wanadhani wamekushika .Poor Africans.
 
Watch out, not to that extent!! Hupendi mipira ??? Usimuamini sana mwenzio HIV kills.
Hahahahah nafatilia nikitaka kubet ila sio mpenzi wa kuangalia kwenye tv. So siwezi kaa nikaangalia mechi kabisa
 
Mm udhaifu wangu nakua too caring halafu napenda usawa kwa kila kitu , kibaya naweza kuumia rohon kwajambo fulan lakin sisemi na ukaniona nipo sawa kumbe nimeoza kwa maumivu hili linanisumbua sana
 
Back
Top Bottom