Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Hilo ndo tatizo kubwa kwa wadada wa kiafrika. Unavyoonesha upendo zaidi kwao wao wanadhani wamekushika .Poor Africans.
Sasa ndio shida kubwa mkuu, huwez jizuia kupenda ila mtu apendeke basi,yakizidi anaanza kukufanya cartoon!
 
huwa sijali chochote kwenye mahusiano, sina hasira wala kumgombeza mtu. kuna ga aliwahi chepuka na jamaa yangu na nkafahamu nikamwambia huku full tabasamu.

akajua ntampiga/kumgombeza walaaa niko na habari zangu. mwezi mmoja aliomba tuachane et mtu gani hujali lolote. sasa nikawaza alikuwa ananikosea kuona reaction yangu ama.

mwingine msg iliingia wana bebika na x wake nkaisoma ile ananiaga nikamwambia amsalimie jamaa (maaa nilisoma conv. yao yote) kaishiwa ozi nae wimbo wake ni why sijali

Hapo kikawaida lazima mtu ahisi humpend kwa dhat cuz uwivu uashiria mapenz sometimes
 
Mi udhaifu wangu sijawahi kusamehe yaani Tunaweza kuanza mahusiano Leo kesho nikakupiga chini... kawaida sana kwangu siangalii chura wala konokono mie.
 
Back
Top Bottom