Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

huwa sijali chochote kwenye mahusiano, sina hasira wala kumgombeza mtu. kuna ga aliwahi chepuka na jamaa yangu na nkafahamu nikamwambia huku full tabasamu.

akajua ntampiga/kumgombeza walaaa niko na habari zangu. mwezi mmoja aliomba tuachane et mtu gani hujali lolote. sasa nikawaza alikuwa ananikosea kuona reaction yangu ama.

mwingine msg iliingia wana bebika na x wake nkaisoma ile ananiaga nikamwambia amsalimie jamaa (maaa nilisoma conv. yao yote) kaishiwa ozi nae wimbo wake ni why sijali
Sijali pia asee naona kama sipotezi kitu ata tukiachana hii inanifanya nisisettle kabisa.
Asant kwako X for this cold heart.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijali pia asee naona kama sipotezi kitu ata tukiachana hii inanifanya nisisettle kabisa.
Asant kwako X for this cold heart.

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani hii ya kutojali mkuu naambiwa kila siku mwanaume gani sina wivu maana wivu ndo mapenzi..mara simpendi yaani ful kujishtukia

ila ukweli unakuta nampenda sana tu ila ile akizingua anatemwa dk chache
 
Wakuu habari.

Kuna huu msemo kua hakuna aliekamilika chini ya jua. Hivyo kila mtu ana madhaifu yake, unaweza kua unaujua udhaifu wako au huujui lakini bado utakua na mapungufu flani kadha wa kadha.

Mimi udhaifu wangu mkubwa ni u laissez faire na kua too gentleman. Mimi hua sio mtu wa kutake things serious sana, lakini pia mimi ni mnyenyekevu au mpole sana hasa kwenye mahusiano.

Hadi mama yangu aliwahi kuniambia kua wanawake watakua wananiendesha sana. Mimi hua siwezi kumgombeza mwanamke au kumkemea hata akinikosea,.

Binafsi naona udhaifu wangu kwa wanawake umepitiliza kikomo ila sina jinsi ya kufanya, niko mpole sana.

Hayo ndio madhaifu yangu, wewe nini udhaifu wako hasa kwenye mahusiano.

Ahsante.
Itakucost usipojirekebisha. Wanawake wa kiafrika ukiwa gentleman sana inakula kwako,ugentleman waachie wahindi na wazungu. Huku kwetu watasema amekukamata.

Be careful.
 
Wivu kama nkimpenda mtu alaf nakua too caring ile kutaka kuchat kila saa kutaka kuwasiliana kila mda inakua kama ni usumbufu kwa mwingne

Sent using Jamii Forums mobile app
Naboreka sana na mtu anayetaka kuchat kila wakati ,hasa mida ya kazi au bize na mambo mengine.

Kujuliana hali hiyo inaruhusiwa hata mara 4 kwa siku inatosha .sio kila dakika ni kujibu texts zisizo na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom