Duuu kwanza pile.Hasira sana. Niliwahi kumuacha girlfriend wangu bus stand baada ya kuniudhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mimi kumbe, tuungane...
Yeah kwa kweli kwa uaminifu najikubali ata wife atainjoy sana maana sipendi mpira na sifagili ukicheche..Na ndio busara ... Sio leo una salima kesho asha keshokutwa mwajuma ... Unatakiwa ufaidi na mmoja tu
Hongera sana mkuu ... Hope hutabadili msimamo ever!Yeah kwa kweli kwa uaminifu najikubali ata wife atainjoy sana maana sipendi mpira na sifagili ukicheche..
Ndio tulivyo kwetu, its like that kwa mshua,brothers n sisters. No infidelity damuni mwetu!Hongera sana mkuu ... Hope hutabadili msimamo ever!
Katika jambo linalonishinda kwenye mahusiano ni hilo,la kupigiana simu kila mara,sms kwa wingi,kila unakokuwa location yako iwe inajulikana,ukowapi,unafanya nini umekula,yaan aisee siwezi kabisa.Napenda kuwa huru,kuwa na my own space,mambo ya kugandana kama luba siyawezi,na ndo maana niko singo[emoji2]Wivu kama nkimpenda mtu alaf nakua too caring ile kutaka kuchat kila saa kutaka kuwasiliana kila mda inakua kama ni usumbufu kwa mwingne
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegombana sana na wa kwangh juu ya hili lakini akanielewa. Yeye anataka kila mara kuchat tuWivu kama nkimpenda mtu alaf nakua too caring ile kutaka kuchat kila saa kutaka kuwasiliana kila mda inakua kama ni usumbufu kwa mwingne
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu mara nyingi unahusishwa na insecurity(maneno ya wataalam) kutokujiamini na atachment.Mana hata uwe na wivu tani ngapi akiamua kuchepuka atachepuka tu so haina haja,ila wivu ukiwa wa kiasi elekezi inakuwa vere sexy.Mi huwa nkiwa na mtu huwa sijisumbui kabisa kumlinda kama mfungwa mara kukagua simu etc,If I love u then I trust you,as long as sijakukamata na ushahidi then sina sababu ya kukutilia mashaka.
Hongera mkuu,hiyo kitu kwenye budhism inaitwa detachment,mie nakaribia kufika level yako.huwa sijali chochote kwenye mahusiano, sina hasira wala kumgombeza mtu. kuna ga aliwahi chepuka na jamaa yangu na nkafahamu nikamwambia huku full tabasamu.
akajua ntampiga/kumgombeza walaaa niko na habari zangu. mwezi mmoja aliomba tuachane et mtu gani hujali lolote. sasa nikawaza alikuwa ananikosea kuona reaction yangu ama.
mwingine msg iliingia wana bebika na x wake nkaisoma ile ananiaga nikamwambia amsalimie jamaa (maaa nilisoma conv. yao yote) kaishiwa ozi nae wimbo wake ni why sijali
Mmojawapo Mimi,
Af ikawaje?Hasira sana. Niliwahi kumuacha girlfriend wangu bus stand baada ya kuniudhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mim nakua hvyo kama cjakupenda bt nikikupenda wee utajutaKatika jambo linalonishinda kwenye mahusiano ni hilo,la kupigiana simu kila mara,sms kwa wingi,kila unakokuwa location yako iwe inajulikana,ukowapi,unafanya nini umekula,yaan aisee siwezi kabisa.Napenda kuwa huru,kuwa na my own space,mambo ya kugandana kama luba siyawezi,na ndo maana niko singo[emoji2]
Imagine unafanya kazi inayohitaji umakini,au una movement nyingi kila siku,huo muda wa kuanza kuchat siku nzima unaupata wapi?.sisemi msichati kabisa lakini kuna ile ya kistaarabu,mnachat jioni,mkiwa mshamaliza majukumu na mumetulia,mchana inakuwa kujuliana hali na mesej mbili tatu za kupeana motivation,na asubuhi vivyohivyo.Lakini sio kila dakika baby ivi,baby vile khaah,utafikiri wanafunzi,au ndo kwanza mnajifunza mapenzi bana,ndo maana mie napenda niwe na mwenza anayejishuhulisha, kuepuka hizo bugdha
Kwanzia leo wewe ni role model wangu mkuu,huwa sijali chochote kwenye mahusiano, sina hasira wala kumgombeza mtu. kuna ga aliwahi chepuka na jamaa yangu na nkafahamu nikamwambia huku full tabasamu.
akajua ntampiga/kumgombeza walaaa niko na habari zangu. mwezi mmoja aliomba tuachane et mtu gani hujali lolote. sasa nikawaza alikuwa ananikosea kuona reaction yangu ama.
mwingine msg iliingia wana bebika na x wake nkaisoma ile ananiaga nikamwambia amsalimie jamaa (maaa nilisoma conv. yao yote) kaishiwa ozi nae wimbo wake ni why sijali