Ni kitu gani unatamani ungefanya tofauti ulipokua na umri wa chini ya miaka 25?

Niliacha kwenda kusomea udaktari kipindi hicho bado nipo below 25 I wish ningerudisha muda nyuma, sikiliza sauti yako ya ndani na usisahau miluzi mingi itakupoteza

Pole sana mkuu. Asante sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…