Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
Ciao..

Kuna ile dhana ya jamii kuchukulia kitu fulani kama hakifai ila kwako unaona kawaida. Kwako ni kipi cha ajabu kati ya hivi?

1.binafsi naona kawaida
IMG_0447.jpeg

2. Hii kwangu ni ajabu hasa kwa mwanaume
IMG_0446.jpeg

3. Binafsi sipendi mawigi
IMG_0448.jpeg

4. Hii kwangu ni ajabu
IMG_0445.jpeg

5.binafsi kuwahi kuamka bila sababu ya msingi kwangu ni Big No. mfano leo nmeamka saa 9 alasiri
IMG_0442.jpeg

6. No comment
IMG_0440.jpeg

7.mwanaume kula zege kwangu naona iko tu poa ingawa mimi sili
IMG_0436.jpeg

8. Kuwasha mziki mkubwa hasa magetoni naona ni ushamba
IMG_0441.jpeg

9.haya ni maajabu hususan kama hujazaliwa kwenye huu utamaduni.
IMG_0449.jpeg

10. Haya kwangu ni maajabu
IMG_0450.jpeg

11.kusikiliza mziki wa hivi hususan barabarani naona haijakaa sawa
IMG_0437.jpeg

12. Mwanaume mtu mzima kushindia playstation kwangu ni ajabu
IMG_0451.jpeg

13. Hii kwangu ni ajabu sana
IMG_0452.jpeg

IMG_0457.jpeg

14. Hii binafsi ni ajabu
IMG_0456.jpeg
 
Attachments

  • IMG_0446.jpeg
    IMG_0446.jpeg
    19.9 KB · Views: 29
Napenda muziki tangu kitambo,napenda sauti kubwa saa nyingine nacheza kabisa, watoto wangu wanafurahiii

Sipendi mtu mwenye rasta yaani hata kama ni msomi, mtaalamu lakini huwa napunguza marks.

Mwanamke mwenye kuvaa vikuku,kipini puani, pamoja na kutoboa sikio moja matundu mengi, namuonaje sijui siwezi karibiana naye.

Napenda Kula chochote iwe chips,wali,ugali na vingine vingi haswa vikiandaliwa nyumbani,ila napenda zaidi nyamachoma.
 
Kuchokonoa pua hadharani
..mtu yuko kwenye daladal anachokonoa pua,akimaliza anatoa uchafu ana ucheki kwanza..
Hili ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi tu.

Tena wengine huwa ni kama vile wana enjoy kujichokonoa hizo pua.

Unakuta anajichokonoa halafu anaanza kuvifikicha na vidole vitu alivyovitoa humo puani.
 
Hii sijawahi kukutana nayo ila mwenzio anaona kawaida tu
 
Napenda muziki tangu kitambo,napenda sauti kubwa saa nyingine nacheza kabisa, watoto wangu wanafurahiii

Sipendi mtu mwenye rasta yaani hata kama ni msomi, mtaalamu lakini huwa napunguza marks.

Mwanamke mwenye kuvaa vikuku,kipini puani, pamoja na kutoboa sikio moja matundu mengi, namuonaje sijui siwezi karibiana naye.

Napenda Kula chochote iwe chips,wali,ugali na vingine vingi haswa vikiandaliwa nyumbani,ila napenda zaidi nyamachoma.
Sauti kubwa sio nzuri kama unaishi na watu wengine ambao wanakwazika na sauti kubwa ingawa mziki bila sauti tena mchana pia hainogi. Bora kutumia head phones
 
Kukuta watu walio panga foleni wakisubiri zamu Yao Ifike ili wapate huduma, halafu jitu linakatiza mbele kana kwamba nyie mliopanga foleni hamna akili timamu.

Kuna mdada mmoja ilibidi nimtukane supermarket.

Kanikuta nasubiri huduma halafu akakatiza mbele yangu.

Nilimuwakia.

Ustaarabu kwa Watanzania kwenye baadhi ya mambo ni sifuri kabisa.
 
Kukuta watu walio panga flani wakisubiri zamu Yao Ifike ili wapate huduma, halafu jitu linakatiza mbele kana kwamba nyie mliopanga foleni hamna akili timamu.

Kuna mdada mmoja ilibidi nimtukane supermarket.

Kanikuta nasubiri huduma halafu akakatiza mbele yangu.

Nilimuwakia.

Ustaarabu kwa Watanzania kwenye baadhi ya mambo ni sifuri kabisa.
Hapo kwenye kupanga foleni binafsi ni mtiani. Nikikuta foleni naondoka natafta plan B au C
 
Back
Top Bottom