Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Kaka kaka, unaishi wapi??Lower a car. Nawashangaa wanaonyanyua magari. View attachment 3450325
Kaka kaka, unaishi wapi??Lower a car. Nawashangaa wanaonyanyua magari. View attachment 3450325
Mbuzi wa vatican au wa hapo kibaha kwa mzee chuma?
Bia ya ngap bwasheeKwanza "Ciao" ni nini??
Kwangu hapo mengi pia sio ajabu na hayanikeri ila vitu kama kuvaa mlegezo huwa nachukulia ni ushamba tukuka au ushamba wa zamani maana wahuni washaacha hizo mbanga kitambo.
Na kati ya vitu sipendi basi ni mziki mkubwa hasa geto.
Na kitu sipendi ni kumkera mtu kwa kufanya kinachonifurahisha mimi, ndio maana napenda kula gambe sehemu tulivu kama hapa nilipo sasa.
Cc min -me
Evelyn Salt uko wapi, mbuzi anaisha huku.
Ya 4 mkuuBia ya ngap bwashee
Mbona kama umetaja mbuzi wa baba mmoja, enewei ni mbuzi wa kule alikogombea Salim Kikeke.Mbuzi wa vatican au wa hapo kibaha kwa mzee chuma?
Nakuja brazaMbona kama umetaja mbuzi wa baba mmoja, enewei ni mbuzi wa kule alikogombea Salim Kikeke.
Tano kwa afya bwasheYa 4 mkuu
Ciao ni salamu ya kiitaliano kwa maana ya “Hi”Kwanza "Ciao" ni nini??
Kwangu hapo mengi pia sio ajabu na hayanikeri ila vitu kama kuvaa mlegezo huwa nachukulia ni ushamba tukuka au ushamba wa zamani maana wahuni washaacha hizo mbanga kitambo.
Na kati ya vitu sipendi basi ni mziki mkubwa hasa geto.
Na kitu sipendi ni kumkera mtu kwa kufanya kinachonifurahisha mimi, ndio maana napenda kula gambe sehemu tulivu kama hapa nilipo sasa.
Cc min -me
Evelyn Salt uko wapi, mbuzi anaisha huku.
Nina uhakika we ungekuwa mshikaji wangu kwa street, tungepewa tangazo la bia.Watu wanaona kunywa bia asubuhi ni ajabu ila kwangu naona kawaida
Nakula ya mwisho naenda kulala, nipo naangalia wasudani naona nukta nyeupe na kijani tu, acha nikalale sasa maana hata hizi pisi za hapa naona zote kali.Tano kwa afya bwashe
Kwa nini bwashee 😅Nina uhakika we ungekuwa mshikaji wangu kwa street, tungepewa tangazo la bia.
Taji la gambe tungechukua mapema sana.Kwa nini bwashee 😅
Kimalengo sawa ila sio kiafya. Unafikiri wanaowahi kuamka hawaumwi? Come onDah ebwana ee mwanetu kwasbabu Hana ratiba kaona akaze kitandani mpaka Saa 9 alasili haah kudadeki na demu Kama huyu kifupi uwa tunagombana mara Kwa mara hii kwangu si sawa .kuamka NI Saa 10 alfajili kila siku kiafya na kimalengo
Au anauingiza mdomoni na kutema tpuuuh...Kuchokonoa pua hadharani
..mtu yuko kwenye daladal anachokonoa pua,akimaliza anatoa uchafu ana ucheki kwanza..