Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

Kukuta watu walio panga flani wakisubiri zamu Yao Ifike ili wapate huduma, halafu jitu linakatiza mbele kana kwamba nyie mliopanga foleni hamna akili timamu.

Kuna mdada mmoja ilibidi nimtukane supermarket.

Kanikuta nasubiri huduma halafu akakatiza mbele yangu.

Nilimuwakia.

Ustaarabu kwa Watanzania kwenye baadhi ya mambo ni sifuri kabisa.
Leo nilienda hospitali kupima afya. Daktari ametoka na mteja wake huko kaingia naye moja kwa moja. Aisee muhudumu akaenda kumtoa yule mteja akamwambia haiwezekani watu wamepanga foleni kitambo wewe uingie tu.

It was an awesome experience, lile tukio lilinistaajabisha sana
 
Kikuku nilikuwa najua ni umalaya mpaka nilipokuta shangazi yangu kavaa. Ila bado hakunishawishi
Kwani kaka shangazi yako zaidi ya kuwa dada wa baba yako una info zake gani nyingine unazijua kumhusu😁😁😁.

Anyway hata hivyo haifai kumwita mtu malaya hasa kama una uhakika hauijui tupu yake kwa bei yoyote.
 
Leo nilienda hospitali kupima afya. Daktari ametoka na mteja wake huko kaingia naye moja kwa moja. Aisee muhudumu akaenda kumtoa yule mteja akamwambia haiwezekani watu wamepanga foleni kitambo wewe uingie tu.

It was an awesome experience, lile tukio lilinistaajabisha sana
Itakuwa jamaa alitoa rushwa huu mchezo wanao sana hospital ya temeke na muhimbili niliwahi kumtia makofi nesi wa muhimbili ni wapuuzi sana
 
Hapo kwenye kupanga foleni binafsi ni mtiani. Nikikuta foleni naondoka natafta plan B au C
Heri kuondoka na kuangalia utaratibu mwingine kuliko kukatiza mbele ya wengine uliowakuta kama vile shida yako au hitaji lako ni la muhimu sana kuliko uliowakuta.

Tanzania kuna tabia za kishenzi sana.
 
1-mwanamke anayevaa chupi peke yake kabla ya nguo ya juu gauni,dela au sketi,(huu sio ujasili)ni ugonjwa wa akili,yaani hawazi upepo,ajali ama purukushani inayoweza muacha uchi,unaweza chaniwa nguo hata na msumari itakuwaje??.kwangu huwa ni ajabu sana.

2-wazazi wanaovisha watoto wa kike wadogo nguo zinazowauza urembo wao,unakuta mtu ana katoto kazuri kana miguu safi basi anakavisha tight tupu,au skirt pekee,baba nawewe upo upo tu,hii sio sawa,mtoto hana soko lolote uwanja huo zaidi ya kumzoesha upumbavu akiwa mtu mzima.

3-kufunga murphler yenye kelele,kwenye gari au piki piki,hii michezo wanayo sana watoto wa kiarabu wa upanga na kkoo,huwa nashangaa zinawapa vibe gani???

4-kula muhindi wa kuchoma kwenye daladala au karanga,mtu aina hii huwa najiuliza anakuwa na hamu kiasi gani ya kula mahindi,mpaka kununua mabichi au yaliyochomwa afike nayo nyumbani inakuaa taabu,huyu anawezakula pweza humo ni vile wa buku sio wengi🤣🤣.
 
Iyo namba moja zamani nilikua naona ajabu ila tangu nianze hekaheka za kusafiri kwenda nchi za watu naona kawaida kabisa, izo zingine ni ajabu sana ila kwao wanaona kawaida kabisa
 
Kumpisha seat mwanamke mjamzito au mwenye mtoto akae mimi huwa naona kwangu kawaida ila huwa naoboeka kiti ulichompisha yeye ashuke halafu mtu atoke arukie hicho wakati anajua ulimpisha mtu akae.
 
Kikuku nilikuwa najua ni umalaya mpaka nilipokuta shangazi yangu kavaa. Ila bado hakunishawishi
[/QU
Hili ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi tu.

Tena wengine huwa ni kama vile wana enjoy kujichokonoa hizo pua.

Unakuta anajichokonoa halafu anaanza kuvifikicha na vidole vitu alivyovitoa humo puani.
Mwishowe nitapike Bure..
 
Unakuta mtu mnzma wa heshima kabisa anasikiliza clip za kina Gigi money, juma lokole tena bila head phone kwenye daladala🤒
Hii inanikera sana yaani umechoka kichwani mambo mengi unahitaji at least kwenye bus unakuta jitu zimaa linakupigia makelele na lisimu lake ! Wengine ni wale wa kuongea na simu kwa sauti. Mara kuna pesa ya chap chap mara kamwage zege
 
Kila kitu naona sawa ili mradi mtu afanye bila kunihusisha au kunikera.
 
Back
Top Bottom