Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

Mtu kufa au kuuwawa akiwa katika harakati za siasa,mie huwa naona ni kawaida maana ni mchezo.
Nashangaa jamiii kuchukulia tofouti
 
1.Kukatia maandazi kwenye maharage afu watu wazima du
2.mziki mkubwa geto jau sn
 
1.Kukatia maandazi kwenye maharage afu watu wazima du
2.dem kutembea na tight naona kawaida
 
Mimi sijui ni ushamba ila demu mwenye tatoo hata ya nukta kwangu namuona ni malaya hii dhana kuibadilisha kichwani kwangu imegoma kabisa.
 
Back
Top Bottom