MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Nais kwenye suala la utamaduni ni sawaKikuku nilikuwa najua ni umalaya mpaka nilipokuta shangazi yangu kavaa. Ila bado hakunishawishi
😃😀😀😀😀Kikuku nilikuwa najua ni umalaya mpaka nilipokuta shangazi yangu kavaa. Ila bado hakunishawishi
Hili ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi tu.Kuchokonoa pua hadharani
..mtu yuko kwenye daladal anachokonoa pua,akimaliza anatoa uchafu ana ucheki kwanza..
Hii sijawahi kukutana nayo ila mwenzio anaona kawaida tuHili ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi tu.
Tena wengine huwa ni kama vile wana enjoy kujichokonoa hizo pua.
Unakuta anajichokonoa halafu anaanza kuvifikicha na vidole vitu alivyovitoa humo puani.
Na wengine wanaonja kidogoHili ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi tu.
Tena wengine huwa ni kama vile wana enjoy kujichokonoa hizo pua.
Unakuta anajichokonoa halafu anaanza kuvifikicha na vidole vitu alivyovitoa humo puani.
Sauti kubwa sio nzuri kama unaishi na watu wengine ambao wanakwazika na sauti kubwa ingawa mziki bila sauti tena mchana pia hainogi. Bora kutumia head phonesNapenda muziki tangu kitambo,napenda sauti kubwa saa nyingine nacheza kabisa, watoto wangu wanafurahiii
Sipendi mtu mwenye rasta yaani hata kama ni msomi, mtaalamu lakini huwa napunguza marks.
Mwanamke mwenye kuvaa vikuku,kipini puani, pamoja na kutoboa sikio moja matundu mengi, namuonaje sijui siwezi karibiana naye.
Napenda Kula chochote iwe chips,wali,ugali na vingine vingi haswa vikiandaliwa nyumbani,ila napenda zaidi nyamachoma.
Yes, hahahaa! Yuck!Na wengine wanaonja kidogo
Nikiona mtu anakunywa bia asubuhi namuona kama amepoteza dira ya maishaWatu wanaona kunywa bia asubuhi ni ajabu ila kwangu naona kawaida
Hapo kwenye kupanga foleni binafsi ni mtiani. Nikikuta foleni naondoka natafta plan B au CKukuta watu walio panga flani wakisubiri zamu Yao Ifike ili wapate huduma, halafu jitu linakatiza mbele kana kwamba nyie mliopanga foleni hamna akili timamu.
Kuna mdada mmoja ilibidi nimtukane supermarket.
Kanikuta nasubiri huduma halafu akakatiza mbele yangu.
Nilimuwakia.
Ustaarabu kwa Watanzania kwenye baadhi ya mambo ni sifuri kabisa.
Hata usipo kunywa dira ya maisha kuna siku utaipoteza tu bwashee 😅😅 Nyerere yupo wapi?Nikiona mtu anakunywa bia asubuhi namuona kama amepoteza dira ya maisha