Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Tattoo kawaida sana mkuuMimi sijui ni ushamba ila demu mwenye tatoo hata ya nukta kwangu namuona ni malaya hii dhana kuibadilisha kichwani kwangu imegoma kabisa.
Basi ushamba unanisumbua.Tattoo kawaida sana mkuu