Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

1. Nilienda kwa jamaa nikakuta ana poti la kunyea na hana mtoto nikawaza sana
Ungewaza nje ya boksi tu.Kabla hilo poti halijatumika kwa zoezi mahsusi mbona angeweza kuhamishia mboga aliyopikia kwenye sufuria lake moja la kigetogeto.Na wewe hata usingejua.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpwayungu village asiione hiyo ya 3.
Mwalimu hata kupaka rangi mlango kashindwa? WaTz kwa wizi!
Huyo wa kitanda cha tofali naye, si ajabu alikuwa akijichukulia tofali za watu tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpwayungu village asiione hiyo ya 3.
Mwalimu hata kupaka rangi mlango kashindwa? WaTz kwa wizi!
Huyo wa kitanda cha tofali naye, si ajabu alikuwa akijichukulia tofali za watu tu.
Alikuwa fundi ujenzi.. nna uhakika hata cement aliiba
 
Kipindi nipo chuo 2nd year nilikua na jamaa yangu alikua anapenda sana kuja kwangu lakin sikuwahi kwenda kwake alikua anakaa mbali na huwa sina tabia ya kwenda kwa watu hovyo. Kuna siku akachukua adopter ya pc akawa mgumu kurudisha zikapita wiki mbili kila nikimwambia anasema ataleta lakini haleti. Siku moja tumetoka kipind jioni nikaunga nae hadi kwake tumefika akanikarobisha ndani kwakuwa ni mshkaji nikazama ndichi. Kuingia tu naona wale jamaa ukutani wapo wengi mno mwamba ananiambia karibu ukae, ebhana ee niliogopa kukaa nikasimama katikati ya chumba nisijekaa nikawabeba. Nilibaki najiuliza hivi huyu mwamba anaishije na kunguni kiasi kile na alikuwa very smart.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mabitisho ni wachafu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…