Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

1. Nilienda kwa jamaa nikakuta ana poti la kunyea na hana mtoto nikawaza sana
Ungewaza nje ya boksi tu.Kabla hilo poti halijatumika kwa zoezi mahsusi mbona angeweza kuhamishia mboga aliyopikia kwenye sufuria lake moja la kigetogeto.Na wewe hata usingejua.😂😂
 
Kwenye harakati za maisha unaweza kwenda kwa mtu,mshikaji au ndugu yako ukakutana na vitu ukajiuliza vimefikaje pale ukakosa majibu.
Mimi nna visa kadhaa ambavyo nilivikuta kwa washikaji zangu kwenye magheto yao huwa najiuliza sana nakosa majibu hadi leo..nabaki kucheka tu kila nikikumbuka.
1: Kitanda cha kujenga Na tofali alafu nyumba ni yakupanga nilipo uliza umekikuta akajibu hapana nili jenga nikauliza ulijenga vp akajibu nilikua nakuja Na tofali moja moja kwenye begi ili mwenye nyumba asijue ujenzi unao endelea nikauliza kwahio hapa akitaka uhame ? Akajibu ndio hio siku atashangaa nikisha hama

2: Mimi nilienda ghetho kwa mshikaji wangu nikamkuta jamaa analalia kitanda cha hospital sijui kilifikaje pale ghetho.

3: Nilienda kwa MWALIMU wangu wa primary, nikakuta MILANGO imeandikwa STD 1,STD 2 mpka la SABA [emoji16][emoji16] nkajisemea tuu kimoyo kimoyo HUU NDO WIZI sasa.

4: Nilienda kwa jamaa angu ukonga nikakuta kitandani ametandika shuka za MSD.
Kila nikijaribu kumuuliza anaishia kucheka tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Je wewe mkuu ushawahi kukutana na nini huko maghetho au nyumbani
Mpwayungu village asiione hiyo ya 3.
Mwalimu hata kupaka rangi mlango kashindwa? WaTz kwa wizi!
Huyo wa kitanda cha tofali naye, si ajabu alikuwa akijichukulia tofali za watu tu.
 
Mpwayungu village asiione hiyo ya 3.
Mwalimu hata kupaka rangi mlango kashindwa? WaTz kwa wizi!
Huyo wa kitanda cha tofali naye, si ajabu alikuwa akijichukulia tofali za watu tu.
Alikuwa fundi ujenzi.. nna uhakika hata cement aliiba
 
Kipindi nipo chuo 2nd year nilikua na jamaa yangu alikua anapenda sana kuja kwangu lakin sikuwahi kwenda kwake alikua anakaa mbali na huwa sina tabia ya kwenda kwa watu hovyo. Kuna siku akachukua adopter ya pc akawa mgumu kurudisha zikapita wiki mbili kila nikimwambia anasema ataleta lakini haleti. Siku moja tumetoka kipind jioni nikaunga nae hadi kwake tumefika akanikarobisha ndani kwakuwa ni mshkaji nikazama ndichi. Kuingia tu naona wale jamaa ukutani wapo wengi mno mwamba ananiambia karibu ukae, ebhana ee niliogopa kukaa nikasimama katikati ya chumba nisijekaa nikawabeba. Nilibaki najiuliza hivi huyu mwamba anaishije na kunguni kiasi kile na alikuwa very smart.
 
😀😀😀😀 Mabitisho ni wachafu sana
 
Back
Top Bottom