Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
πππKama umelala juu ya meza labda godoro liwe kuanzia nchi 8Zanzibar wanajenga haya mavitanda kwakweli mara ya kwanza sikuweza kulala mana niliona kama tayari nshajiingiza mwenyewe kaburini bila kukata roho....Alafu wapemba sio wa mambo ya kunyanduana kwa nguvu iweje wajenge matofari?
Kunguni wanapenda mazingira ya kiza maana hawapati na mwanga mageto mengi machafu hayana mpangilio lazima uwakute ..Unakuta getto chafu mpaka kuna kiza ndani.Kunguni ni either uchafu au kuna mtu ni kikojozi au damu ushasikia mtu anakwambia una dam ya kunguni?? unaweza ukawa huna hivp vitu ukaenda sehem wapo ukahisi utawabeba lakini ikawa hola??
Wanabeua/wanacheua banaGhetto kijijini nilipoenda kusalimia nikapewa nilale na huyo bro anayelala hapo anaingia kama sasa sita usiku .Bhana nimeenda kulala kama saa nne kasoro aisee nashangaa panaletwa Mbuzi mule ndani tulale nao wapo kama watano hivi na nilikuwa nipo alone jamaa bado hajaja mpaka saa sita.
Hao mbuzi hawalali wanatafuna usiku mzima na unasikia kabisa "kwachu kwachu kwachu " na mule ndani hamna majani sijui wanayatoa wapi?
kumbeWanabeua/wanacheua bana
Ndio, kuna jamii ya wafia dini fulani hawali wanyama wasio cheua.kumbe
Na kwa nn hawalali wanakera na unasikia kama kama wanaguna baada ya mda fulani.Ndio, kuna jamii ya wafia dini fulani hawali wanyama wasio cheua.
Hii jamii ya wanyama wapokuwa machungani huifadhi malisho mahali fulani mwilini then wakitulia baadae wanakuwa wanasonsomola hado hado bila bughdha kabisa
Wanyama so kama binadam mkuu kwamba et wana mda maalumu wa kulala. Wao usingizi wao huwa ni wa mawenge mawengeπππNa kwa nn hawalali wanakera na unasikia kama kama wanaguna baada ya mda fulani.
kuna kipindi cha nyuma tulisafiri sasa ikabidi nyumbani tuache mtu wa kulala, kuna mkaka jirani tukamuomba awe anakuja kulala, bwana bwana tukasafiri sisi siku ilofatia tukaka karibu two weeks tukarudi kwanza chumba alichokua analala ni chumbani kwangu, picha linaanza tukakuta condom used me skujali sana tukafanya usaf usiku tumelala naona nang'atwa lakini sijui kinachoniuma ni kipi,kulipokucha tukawa busy na shughuli za nyumban kama kawaida sasa mchana mama ameingia chumbani kwangu aje tupige story tumejipumzisha ππππ mama akawa busy anajikung'uta mara ananiambia wewe hapa kitandani kwako kuna nn mbona nang'atwa kupiga jicho akawaona ng'ombe wanapanda na juu mama akanambia umeanza lini kunguni?? upesi amka tukatoa kitanda nje godoro nje net nje chemshia maji na ngao zile dawa ya net ndio iliwakimbiza had leo hawakurud na ndio kupata jibu ni yule aliekuja kulala ndio kaja namifugo yakeNdio tayari wakiingia ndani wakazaliana kuwamaliza sio shughuli ndogo.
ππWanyama so kama binadam mkuu kwamba et wana mda maalumu wa kulala. Wao usingizi wao huwa ni wa mawenge mawengeπππ
Kama mnazimana hadi mitandao nnamashaka wanawake hadi shanga mnavalianamkuu kuna hilo balaa la kuishi na vikojozi usiombe, kuna mama mtu nilimwazima mtandio bas kabla hajaurudisha napita kwake nakuta anatoa magodoro nje na vitanda namuuliza kulikoni leo ananambia kunguni nilifadhaika na nguo yangu siku anaurudisha nilikua nauanika nje jua kali nikitoka hapo naufua nauanika tena kama mara tatu hivi nikauacha nje usiku upigwe nanbaridi ndipo nilipouweka kabatini
We hacha tu yaani mpaka nazoea kile kitanda nilishapoteza sana hela ya kununua tu malaya....Najuta sanaπππKama umelala juu ya meza labda godoro liwe kuanzia nchi 8
Hao wapo hadi kwenye mabasi mbonaKunguni wanapenda mazingira ya kiza maana hawapati na mwanga mageto mengi machafu hayana mpangilio lazima uwakute ..Unakuta getto chafu mpaka kuna kiza ndani.
WanacheuaGhetto kijijini nilipoenda kusalimia nikapewa nilale na huyo bro anayelala hapo anaingia kama sasa sita usiku .Bhana nimeenda kulala kama saa nne kasoro aisee nashangaa panaletwa Mbuzi mule ndani tulale nao wapo kama watano hivi na nilikuwa nipo alone jamaa bado hajaja mpaka saa sita.
Hao mbuzi hawalali wanatafuna usiku mzima na unasikia kabisa "kwachu kwachu kwachu " na mule ndani hamna majani sijui wanayatoa wapi?
Eti ng'ombe haaaaaaah haaaaaah uku niliko wanaita et alteza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ng'ombe walikua wananiotea saa 9 saa 10 usingizi umekolea mpaka nilichoma sindanokuna kipindi cha nyuma tulisafiri sasa ikabidi nyumbani tuache mtu wa kulala, kuna mkaka jirani tukamuomba awe anakuja kulala, bwana bwana tukasafiri sisi siku ilofatia tukaka karibu two weeks tukarudi kwanza chumba alichokua analala ni chumbani kwangu, picha linaanza tukakuta condom used me skujali sana tukafanya usaf usiku tumelala naona nang'atwa lakini sijui kinachoniuma ni kipi,kulipokucha tukawa busy na shughuli za nyumban kama kawaida sasa mchana mama ameingia chumbani kwangu aje tupige story tumejipumzisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama akawa busy anajikung'uta mara ananiambia wewe hapa kitandani kwako kuna nn mbona nang'atwa kupiga jicho akawaona ng'ombe wanapanda na juu mama akanambia umeanza lini kunguni?? upesi amka tukatoa kitanda nje godoro nje net nje chemshia maji na ngao zile dawa ya net ndio iliwakimbiza had leo hawakurud na ndio kupata jibu ni yule aliekuja kulala ndio kaja namifugo yake
Ukiwa nacho hiki sahau kuhusu kubadilisha uelekeo wa kitandaKitanda Cha tofaliπ€£
Tembea uone
π yawezekana ni yeye au huyo aliemtumia na condom, hii mifugo mmoja tu anatosha tena kwenye uchafu na joto ndio afya yaokuna kipindi cha nyuma tulisafiri sasa ikabidi nyumbani tuache mtu wa kulala, kuna mkaka jirani tukamuomba awe anakuja kulala, bwana bwana tukasafiri sisi siku ilofatia tukaka karibu two weeks tukarudi kwanza chumba alichokua analala ni chumbani kwangu, picha linaanza tukakuta condom used me skujali sana tukafanya usaf usiku tumelala naona nang'atwa lakini sijui kinachoniuma ni kipi,kulipokucha tukawa busy na shughuli za nyumban kama kawaida sasa mchana mama ameingia chumbani kwangu aje tupige story tumejipumzisha ππππ mama akawa busy anajikung'uta mara ananiambia wewe hapa kitandani kwako kuna nn mbona nang'atwa kupiga jicho akawaona ng'ombe wanapanda na juu mama akanambia umeanza lini kunguni?? upesi amka tukatoa kitanda nje godoro nje net nje chemshia maji na ngao zile dawa ya net ndio iliwakimbiza had leo hawakurud na ndio kupata jibu ni yule aliekuja kulala ndio kaja namifugo yake
duh pole mkuu πππEti ng'ombe haaaaaaah haaaaaah uku niliko wanaita et alteza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ng'ombe walikua wananiotea saa 9 saa 10 usingizi umekolea mpaka nilichoma sindano
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app