kuna kipindi cha nyuma tulisafiri sasa ikabidi nyumbani tuache mtu wa kulala, kuna mkaka jirani tukamuomba awe anakuja kulala, bwana bwana tukasafiri sisi siku ilofatia tukaka karibu two weeks tukarudi kwanza chumba alichokua analala ni chumbani kwangu, picha linaanza tukakuta condom used me skujali sana tukafanya usaf usiku tumelala naona nang'atwa lakini sijui kinachoniuma ni kipi,kulipokucha tukawa busy na shughuli za nyumban kama kawaida sasa mchana mama ameingia chumbani kwangu aje tupige story tumejipumzisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama akawa busy anajikung'uta mara ananiambia wewe hapa kitandani kwako kuna nn mbona nang'atwa kupiga jicho akawaona ng'ombe wanapanda na juu mama akanambia umeanza lini kunguni?? upesi amka tukatoa kitanda nje godoro nje net nje chemshia maji na ngao zile dawa ya net ndio iliwakimbiza had leo hawakurud na ndio kupata jibu ni yule aliekuja kulala ndio kaja namifugo yake