Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

Umenifurahisha sana kuwaita ng'ombe kunguni umenikumbusha chuo[emoji1787][emoji1787]
 
๐Ÿ˜… yawezekana ni yeye au huyo aliemtumia na condom, hii mifugo mmoja tu anatosha tena kwenye uchafu na joto ndio afya yao
nahio ndio ilikua mara yangu yakwanza nawaona hao wadudu nilikua nawasikia tu kunguni yule kaka sjui hata kama alikua anaoga sina hakika mana unavyomuona ndio hivohivo kila siku utasema nguo ndio ngozi yake sie hatukuyajali hayo ya nguo na mambo yake tulitaka nyumba iwe na mtu kuliko kuiacha peke yake kilichotukuta ndio kilitufanya tusiamini watu bora aende mmoja mwengine abakie
 
Kuna watu ni wachafu na wanafeel okay kabisa na hali hiyo. Mara ya kwanza kuwaona ng'ombe sikulala mpaka kunakucha ๐Ÿ˜‚. Ilikua UDOM nilienda kuchukua mzigo fulani nikachelewa ikabidi nilale, wadau walikua wanancheka wao usingizi waliupata vizuri ila mimi niliomba tu pakuche niondoke.
 
hahahhaaa pole sana hawa wadudu ni wakorof sana
 
Walikuwa wanachangamsha ghetto๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Picha ya rapper DMX (r.i.p) chumbani kwa wazazi ukutani. Baba kipindi hiko alikuwa na miaka 60+ na mama 50+ sasa nikajiuliza hawa dmx wamemjulia wapi hadi wanabandika picha yake na wameipata wapi kijijini kama huku?!!!
 
Duh! Sheedar kwenye kitanda cha tofari umetupiga na kitu kizito kwakweli!
 
Hata Ccm Majizi Yapo Ndugu Zangu
Nasema Uongo!!

BY Mzilankende Mnyago
 
Ila huyo mwalimu naye alizingua Sana jamani dah! Yaani aliamua kung'oa milango ya madarasa shuleni na kuja kuiweka kwa nyumba zake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ