Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

kuna kipindi cha nyuma tulisafiri sasa ikabidi nyumbani tuache mtu wa kulala, kuna mkaka jirani tukamuomba awe anakuja kulala, bwana bwana tukasafiri sisi siku ilofatia tukaka karibu two weeks tukarudi kwanza chumba alichokua analala ni chumbani kwangu, picha linaanza tukakuta condom used me skujali sana tukafanya usaf usiku tumelala naona nang'atwa lakini sijui kinachoniuma ni kipi,kulipokucha tukawa busy na shughuli za nyumban kama kawaida sasa mchana mama ameingia chumbani kwangu aje tupige story tumejipumzisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama akawa busy anajikung'uta mara ananiambia wewe hapa kitandani kwako kuna nn mbona nang'atwa kupiga jicho akawaona ng'ombe wanapanda na juu mama akanambia umeanza lini kunguni?? upesi amka tukatoa kitanda nje godoro nje net nje chemshia maji na ngao zile dawa ya net ndio iliwakimbiza had leo hawakurud na ndio kupata jibu ni yule aliekuja kulala ndio kaja namifugo yake
Umenifurahisha sana kuwaita ng'ombe kunguni umenikumbusha chuo[emoji1787][emoji1787]
 
😅 yawezekana ni yeye au huyo aliemtumia na condom, hii mifugo mmoja tu anatosha tena kwenye uchafu na joto ndio afya yao
nahio ndio ilikua mara yangu yakwanza nawaona hao wadudu nilikua nawasikia tu kunguni yule kaka sjui hata kama alikua anaoga sina hakika mana unavyomuona ndio hivohivo kila siku utasema nguo ndio ngozi yake sie hatukuyajali hayo ya nguo na mambo yake tulitaka nyumba iwe na mtu kuliko kuiacha peke yake kilichotukuta ndio kilitufanya tusiamini watu bora aende mmoja mwengine abakie
 
Kuna watu ni wachafu na wanafeel okay kabisa na hali hiyo. Mara ya kwanza kuwaona ng'ombe sikulala mpaka kunakucha 😂. Ilikua UDOM nilienda kuchukua mzigo fulani nikachelewa ikabidi nilale, wadau walikua wanancheka wao usingizi waliupata vizuri ila mimi niliomba tu pakuche niondoke.
 
hahahhaaa pole sana hawa wadudu ni wakorof sana
 
Kipindi nipo chuo 2nd year nilikua na jamaa yangu alikua anapenda sana kuja kwangu lakin sikuwahi kwenda kwake alikua anakaa mbali na huwa sina tabia ya kwenda kwa watu hovyo. Kuna siku akachukua adopter ya pc akawa mgumu kurudisha zikapita wiki mbili kila nikimwambia anasema ataleta lakini haleti. Siku moja tumetoka kipind jioni nikaunga nae hadi kwake tumefika akanikarobisha ndani kwakuwa ni mshkaji nikazama ndichi. Kuingia tu naona wale jamaa ukutani wapo wengi mno mwamba ananiambia karibu ukae, ebhana ee niliogopa kukaa nikasimama katikati ya chumba nisijekaa nikawabeba. Nilibaki najiuliza hivi huyu mwamba anaishije na kunguni kiasi kile na alikuwa very smart.
Walikuwa wanachangamsha ghetto😂😂
 
Picha ya rapper DMX (r.i.p) chumbani kwa wazazi ukutani. Baba kipindi hiko alikuwa na miaka 60+ na mama 50+ sasa nikajiuliza hawa dmx wamemjulia wapi hadi wanabandika picha yake na wameipata wapi kijijini kama huku?!!!
 
Duh! Sheedar kwenye kitanda cha tofari umetupiga na kitu kizito kwakweli!
 
Kitanda Cha tofali[emoji1787]
Tembea uone

Kinakuwa kama hiki, sema hiki kimesakafiwa.
Na gharama yake ni Dollar 120 per night.
IMG_1861.jpg
 
Hata Ccm Majizi Yapo Ndugu Zangu
Nasema Uongo!!

BY Mzilankende Mnyago
 
Ila huyo mwalimu naye alizingua Sana jamani dah! Yaani aliamua kung'oa milango ya madarasa shuleni na kuja kuiweka kwa nyumba zake 😂😂
 
Back
Top Bottom