Ni kituko gani ulikutana nacho kwenye kampuni?

Ni kituko gani ulikutana nacho kwenye kampuni?

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas
👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu
👉Uzi tiyari
 

Attachments

  • Screenshot_20250108_185055.jpg
    Screenshot_20250108_185055.jpg
    321.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20250108_185106.jpg
    Screenshot_20250108_185106.jpg
    304.1 KB · Views: 7
Ngoja kwanza mimi kama kinyozi umenichanganya unamaanisha kampeni au kampuni!!?
 
Moderator heading ilifaa isomeke "kampeni"🙏 na sio "kampuni"
 
Nikataka kuja na kituko Cha kampuni kumbe umemaanisha kampeni !
Anyway huko sijawahi kuona kituko
 
Kusema ukweli cjawahi kwenda na sifikiri kwenda maana cjawahi kuona umuhimu huo...
 
Back
Top Bottom