mwibamwiba
Senior Member
- May 22, 2015
- 150
- 38
nami naamini hivyo ndio maana nimeandka ktk maelezo yangu kuwa manesi polisi huwa wanaishi sema wanakuwa ktk roho hawaonekani na watu wapenzi huonana baada ya kifo na kuishi kama duniani sema mnakuwa kama ktk ndoto lakini kubwa Mungu huturudisha duniani kama tunadondoshwa hivi mfano wa mwanzo wa pich ya mr.bean kuna fumbo kubwa sana pale anapoonekana amedondoka sema unazaliwa lakini ukifika umri wa miaka mitatu au minne unaweza hisi umebadilishwa kabiswa,kifupi weupe wanaweza kujibadili maumbo kama malaika chukua hiyooooHili ndio Jibu sahihi
Ccm haifi
Wakuu,
Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.
Je, ni kiumbe gani hicho?
Mnaokijua tuambieni
Ni"ROHO"tu pekee ndicho kiumbe kinachoishi au kitakacho ishi milele hapa dunia ,kama mlikuwa hamjui ,CHUKUA HIYO.
Kauliza 'kiumbe' 'kisichokufa' mnaleta longolongo mara amoeba mara majini na dhahania za miaka 2014 na miezi 9 leteni majibu kwa mujibu wa swali!!
Kipaumbele cha kwanza hadi cha tatu ni elimu.
huyu huwa hafi atadunda tu mpaka siku ya kiama.
kama yule jamaa anayetangatanga ulimwenguni kwa kujificha kila akijaribu kujiuwa inashindikana kwa sasa ana umri wa miaka 2014 na miezi 9/
alimdhihaki nabii fulani akaambiwa hata kufa mpaka siku ya hukumu.
mwingine ni farao yeye mwili wake hautaharibika mpaka siku ya hukumu,mwili wake upo tangu enzi za musa.
Hapo kipaumbe ni kimoja tu, huwezi kusema vitatu, ukiwa unataja kitu kimoja, ghiriba za siasa zile zisikusumbue ndugu yangu. mfano mtu aulizwe, una malengo mangapi mwaka huu, alafu ajibu, namba moja kujenga nyumba mbili kujenga nyumba na tatu kujenga nyumba, hapo lengo ni moja ila mtamkaji amerudia tu kutaja mbona hesabu hizi zinashindikana hivi.
Yesu alipaa...hakufa
Wakuu,
Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.
Je, ni kiumbe gani hicho?
Mnaokijua tuambieni
ubora wa tanzania utaujua tu ,wanajadili vitu non sense kabisa