Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

Mie mambo yangu JLW na akina Ngalikihinja au sio....huku tuwaachie watambikaji akina mshana jr na MziziMkavu eeeee
 
Mwambie Mbingu haijabinafsishwa kwao wanajiita wenyewe kwao.. Asituzingue huyo... Siku atakapotukuta tumefika mbinguni halafu yeye yuko kunakomuhusu ndo atashaa...
Mwanaume una mipasho wewe.....nakugawa bureeeeeee
 
Nasubiri jibu la huyo kiumbe mwenye miaka 2014 na miezi 9,
Nashangaa msemaji kapotea mazimaaaaaaa,
Akijibu plz anybody ani Quote or Tag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…