Mmh sasa yeye si mwanafunzi? After all tunayoongea hapa ni tofauti na uhalisia... Tunayoyafanya kule kamwe hayasemwi hapa... Ni mwiko mkubwahamna mitandao yenu ya kichawi mpaka muanike hadharani appointment zenu humu ktk mitandao ya kiraia???halafu madame b akija na kaniki havai kyupi???
Mmh sasa yeye si mwanafunzi? After all tunayoongea hapa ni tofauti na uhalisia... Tunayoyafanya kule kamwe hayasemwi hapa... Ni mwiko mkubwa
Mmh sasa yeye si mwanafunzi? After all tunayoongea hapa ni tofauti na uhalisia... Tunayoyafanya kule kamwe hayasemwi hapa... Ni mwiko mkubwa
Kuna tofauti kubwa Kati ya acid na maji japo kwa kuangalia kwa macho vyote vinafanana.....anayenizushia mwanga muombe ithibatikumbe wewe ni mwanga kweli mjomba??nilidhani watu wanakuzushia!!
Kuna tofauti kubwa Kati ya acid na maji japo kwa kuangalia kwa macho vyote vinafanana.....anayenizushia mwanga muombe ithibati
Hahahhaa naona tumepishana njia panda sina maana hiyomaji ndio mwanga,na acid ni zaidi ya maji,hivyo wewe ni zaidi ya mwanga/kigagula????
Yesu alipaa...hakufa
....Yesu MasihaMkuu unamzungumzia YESU NAVAZ wa mancity ama....mana mm nnaemjua alizaliwa akateswa msalabani akafa akafufuka siku ya tatu.....alafu akapaa mbinguni ila alisha kufaga....ila kufa kwake sasa ndo kimbembe!!!!
Huyu alikufa na akafufuka.....tatizo ni kwamba je alipokufa alikwenda wanapoenda wenzetu ama hii ilikuwa kama kiini macho tu....au alikufa kweli then akaibuliwa mtu mwingine sawa na yeye.....kinachokufa uoza....hapa ndo spatagi jibu Madame B.....hivi wewe unasali wapi twende wote pengine mchungaji anaweza tutatulia hili?....Yesu Masiha
Huyu alikufa na akafufuka.....tatizo ni kwamba je alipokufa alikwenda wanapoenda wenzetu ama hii ilikuwa kama kiini macho tu....au alikufa kweli then akaibuliwa mtu mwingine sawa na yeye.....kinachokufa uoza....hapa ndo spatagi jibu Madame B.....hivi wewe unasali wapi twende wote pengine mchungaji anaweza tutatulia hili?
Lengo lilikuwa ni kuwachorajaribu kurudisha lengo mkuu... ili nasi tuelewepo
Una ujua uchawi ww??hamna mitandao yenu ya kichawi mpaka muanike hadharani appointment zenu humu ktk mitandao ya kiraia???halafu madame b akija na kaniki havai kyupi???
Yesu hakufa tusidanganyane bibile inasema ishara ya yesu ni kama ya yona. Na yona alikaa ndani ya tumbo la samaki 2 kwa cku tatu bla kufa kisha akatemwa iweje nyie mseme yesu alikufa wkt bibilia yenu imeshasema ishara ya yesu n kama ya yona au mnapngana na maandiko yenu?Huyu alikufa na akafufuka.....tatizo ni kwamba je alipokufa alikwenda wanapoenda wenzetu ama hii ilikuwa kama kiini macho tu....au alikufa kweli then akaibuliwa mtu mwingine sawa na yeye.....kinachokufa uoza....hapa ndo spatagi jibu Madame B.....hivi wewe unasali wapi twende wote pengine mchungaji anaweza tutatulia hili?
Yesu hakufa tusidanganyane bibile inasema ishara ya yesu ni kama ya yona. Na yona alikaa ndani ya tumbo la samaki 2 kwa cku tatu bla kufa kisha akatemwa iweje nyie mseme yesu alikufa wkt bibilia yenu imeshasema ishara ya yesu n kama ya yona au mnapngana na maandiko yenu?
Kwa mujibu wa somo la baiolojia, ni nyoka ambaye kama hatouawa basi anaishi bila kufa kwani kila anapozeeka anarejea ujanani kwa kujivua gamba.Wakuu,
Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.
Je, ni kiumbe gani hicho?
Mnaokijua tuambieni