Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

sisi kwa mafundisho ya kiislamu tunaamini viumbe vyote vitakufa ili mradi vimeumbwa na M/Mungu iwe milima mawe na binadamu hakuna kitakachobak.i siku ya mwisho litapigwa parapanda ambalo sauti yake tu jinsi ilivyo kali kama kuna kiumbe yeyote atabakia kwa ukali wa sauti hiyo kitatoka uhai kwa mshutuko na baada ya hapo M/Mungu atamtuma israel atafute dunia nzima kama kuna yeyote aliebaki israel atatafuta asione kiumbe yeyote M/Mungu atamtuma zaidi ya mara moja atafute na asione chochote na mwisho atagundua hakuna aliebaki isipokuwa yeye israel na M/Mungu ndipo M/Mungu atamuuliza israel hukumbuki ile kauli yangu ''kila nafsi itaonja mauti'' na atamuamlisha israel ajitoe roho mwenyewe naye atajitoa roho huku akiumia kwa maumivu na baada ya hapo atabakia mwenyewe M/Mungu mmoja tu dunia siku yasemakana itakuwa flat hakuna milima hakuna chochote. na atajitapa kwani M/Mungu ndiye anayestahiki kujisifu na atasema MIMI NDIYE MFALME WAKO WAPI HAO WAFALME WA ULIMWENGU,kwa hiyo atakaebaki ni Mungu tu na amehahidi hivyo Mungu mweneyewe
Maelezo mazuri sana, wataelewa tu
 
Hakuna kitakacho Baki kwani kila Nafsi itaonja umauti na hata yeye mtoa roho pia hatobakia.... Na hii ni kwa wale waliomini wakakatazana amabaya na kuamrishana mema (Islam)

Kila Nafsi Itaonja Mauti Na Hakuna Atakayebakia Isipokuwa Allaah سبحانه وتعالى
Anasema Allaah سبحانه وتعالى:

كُلُّ نَفْسٍ ذَآئِقَةُ الْمَوْتِ وَإِنَّمَا تُوَفَّوْنَ أُجُورَكُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فَمَن زُحْزِحَ عَنِ النَّارِ وَأُدْخِلَ الْجَنَّةَ فَقَدْ فَازَ وَما الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلاَّ مَتَاعُ الْغُرُور

((Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kamili Siku ya Qiyaamah. Na atakayeepushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu)) [Al-'Imraan: 185]

Tokea kuumbwa kwa Nabii Aadam عليه السلام hadi leo na mpaka siku ya Qiyaamah hakuna kiumbe kitakachobakia isipokuwa Mwenyewe Mola Mtukufu kama Anavyosema:

كُلُّشَيْءٍ هَالِكٌ إِلَّا وَجْهَهُ

((Kila kitu kitaangamia isipokuwa Yeye)) [Al-Qaswas: 88]

Vile vile Anasema Allaah سبحانه وتعالى :

((كُلُّمَنْ عَلَيْهَا فَانٍ)) ((وَيَبْقَى وَجْهُ رَبِّكَ ذُوالْجَلَالِ وَالْإِكْرَام))

((Kila kilioko juu Yake kitatoweka)) ((Na Atabakia Mwenyewe Mola wakoMwenye utukufu na ukarimu)) [Ar-Rahmaan: 26-27]

Baada ya kupulizwa Swuur (baragumu) siku ya Qiyaamah viumbe vyote vitakufa kwa mpangilio Anaoutaka Mwenyewe Allaah سبحانه وتعالى. Kisha mwisho atabakia Malakul Mawt (Malaika mtoaji roho) na Allaah سبحانه وتعالى.Kisha Allaah سبحانه وتعالى Atamuamrisha Malakul Mawt ajitoe roho yake mwenyewe. Atakapokufa Malakul Mawt Atabakia Allaah سبحانه وتعالى Pekee wa Mwanzo na wa Mwisho, Al-Hayyul-Qayyuum (Mwenye uhai wa maisha, Msimamia kila jambo). Allaah سبحانه وتعالى Siku hiyo Atazikusanya ardhi na mbingu katika Mikono Yake,
Kwa mujib wa qur an kila chenye kuwepo kwenye uso wa dunia kitatoweka, ndo mana nakipendaga mno kitabu hiki hakuna utakachokosa majibu yake humo
 
nzalendo
Muheshimiwa elimu za dini zinakuharibu bila kujifunza kwa kutumia alternative source ya information fara/firaun ni cheo wala si jina mtu binafsi, kilikuwa cheo cha mfalme wa Egypt\misiri na kulikua na desturi am sayansi ya kuhifadhi mili yao wakifa ili siharibike mummification japo mpaka sasa imeharibika kiasi, na mili hiyo ilikua ikihifadhiwa kwenye pyramids. Dini ilikua ni chanzo cha elimu zamani ila si ulimwengu wa Leo, katika ulimwengu huu chukua tu maadali yaliyo mema na wala si yote, ukichukua yote na yakatumika ipasavyo tutaanza kuuwana tu hususa kama muislam akiapply jihad. Faida ya dini iliyobaki ni kutisha watu kwa moto ilituishi kwa kuogopa maovu

Ushauri imani bila uchunguzi mbaya, si lazima ukizaliwa mkritu au muislamu ufe na dini yako kwa kuona wengine wamekosea , tumia maamuzi yako reason, sio wazee wa zamani wakuchagulie dini kwa kuwa karibu na muuza watumwa au mfanyabiashara wa kiarabu au kwa vile babu alikuwa myampala kwa mkoloni. Dini ni elimu,utaratibu,sheria na mfumo wa kuishi kabla ya serikali za Leo,na imesaidia pia kuleta madhara kama vile crusade wars na Holly wars(jihad). Re-think and evaluate life. Pole kwa maneno mengi
Maneno mengii, pumba tupu
 
Mkuu sisi hatupingani na bible....Yesubkweli alikufa na siku ya tatu akafufuka......ndo mana tunaadhimisha PASAKA.....Kama kumbukumbu ya kufufuka kwake full stop.
Kuwa hyo hl andko linalosema ishara ya yesu ni kama ya yona n uongo?? Tatzo wakrsto mnaabudu vtu mcvyo vjua na vng n uzushi ulioletwa na waroma. Unaijua asili ya pasaka ww?
 
Kuwa hyo hl andko linalosema ishara ya yesu ni kama ya yona n uongo?? Tatzo wakrsto mnaabudu vtu mcvyo vjua na vng n uzushi ulioletwa na waroma. Unaijua asili ya pasaka ww?
Sio wakristo tu... Hata nyie waislam ni zero tu kama hao wakristo
 
Hiv roho ni nn mkuu?? Mana nalckiaga tu hili neno
mkuu hao jamaa wanadanganyana tu hakuna mtu yeyote anajua roho ni nini? hata NABII MUHAMMAD( S.A.W) AMBAE HAKUWA AKIONGEA KWA UTASHI ILA KUTOKANA NA WAHYI WA M/MUNGU ALIWAHI ULIZWA NA MASWAHABA KUHUSU ROHO NA AKASEMA ROHO ELIMU YAKE IPO KWA M/MUNGU TU HAKUNA BINADAMU ANAEJUA ROHO NI NINI?, HILO JIBU ALILILOTOA TOKA KARNE YA SABA AMBAZO WENZETU WANAITA NI ZAMA ZA GIZA ILA MPKA LEO ZAMA ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIA WANASAYANSI DUNIANI HAWANA JIBU KAMILI LA KUKUAMBIA ROHO NINI?WANABAKI KUDHANI DHANI TU ILA ALISHATUAMBIA ALLAH SIS WAISLAMU KUWA DHANA HAINA NGUVU MBELE YA HAKI TUBAKIE NA MAJIBU YA MTUME WETU AMBAE NDIE MWANASAYANSI MKUBWA KULIKO WANASAYANSI WOTE DUNIAN KWAMBA ROHO NI NINI HILO JAMBO ANAJUA MUNGU TU!
 
mkuu hao jamaa wanadanganyana tu hakuna mtu yeyote anajua roho ni nini? hata NABII MUHAMMAD( S.A.W) AMBAE HAKUWA AKIONGEA KWA UTASHI ILA KUTOKANA NA WAHYI WA M/MUNGU ALIWAHI ULIZWA NA MASWAHABA KUHUSU ROHO NA AKASEMA ROHO ELIMU YAKE IPO KWA M/MUNGU TU HAKUNA BINADAMU ANAEJUA ROHO NI NINI?, HILO JIBU ALILILOTOA TOKA KARNE YA SABA AMBAZO WENZETU WANAITA NI ZAMA ZA GIZA ILA MPKA LEO ZAMA ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIA WANASAYANSI DUNIANI HAWANA JIBU KAMILI LA KUKUAMBIA ROHO NINI?WANABAKI KUDHANI DHANI TU ILA ALISHATUAMBIA ALLAH SIS WAISLAMU KUWA DHANA HAINA NGUVU MBELE YA HAKI TUBAKIE NA MAJIBU YA MTUME WETU AMBAE NDIE MWANASAYANSI MKUBWA KULIKO WANASAYANSI WOTE DUNIAN KWAMBA ROHO NI NINI HILO JAMBO ANAJUA MUNGU TU!
MIMI NIJUAVYO NI KWAMBA ROHO NI UHAI
 
Tardigrade au water bear. Ni micro-animal aishie kwenye maji. Wanauwezo wa kuishi kwenye extreme conditions be it baridi Kali sana au joto Kali sana hata mahala pasipo na hewa kama space pia wanaweza kuishi kwa muda fulani.

Water bear Wanauwezo wa kuishi miaka 10 bila chakula wala maji na inaaminika ndio kiumbe pekee aliye survive vipindi vyote vya mpito vya viumbe hai

Wanaweza kuishi kwenye mazingira ya −272 °C to 150 °C. Google utapata info zao zaidi
 
MIMI NIJUAVYO NI KWAMBA ROHO NI UHAI
UNASEMA HIVYO UKIWA NA MAANA UKIIKOSA ROHO HUWEZI KUWA NA UHAI?BASI MBONA HATA UKIKOSA MAJI NA CHAKULA HUWEZI KUWA HAI,ROHO NA UHAI NI VITU VIWILI TOFAUTI
 
Back
Top Bottom