Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Polee rudi kwa mora wako nae ni mwingi Wa rehama atakusamehe madhali umeshaanza kujitafakali hii ni ishara tosha ya kutubu
 
Pole sana sijui utafanyaje mitihani ya maisha ni changamoto nafsi zinatuangamiza
 
Amen [emoji120] [emoji120]
Endelea kuniombea na usiache kuniombea ili nije kuachana hizi roho za kishetani.

Pray for me kwa jinsi unavyoweza.....
Story yako imenitoa machozi polee sana maagano yanakutesa na kuumiza ebujaribu kujitoa muanga kutubu kwa imani yako mwenyezimungu mwingi Wa rehema atakujalia utopata madhala Mali rudisha na uwe mwalimu kwa wengine mwenyezimungu atakusimamia inshaallah!
 
najutaga kuzaliwa mwanaume hilo ndo najutia kia siku na i will always do that...
 
Habari za sasa wakuu ...

" hebu tuambiane ni kosa gani ulifanya na hutoacha kulijutia ... Maishani mwako...... Ni ngumu kusahau...."
 
About 6 years ago, At some point i think niliwahi kumpenda mwanamke ambaye hatupo compatible (trust me hizi mambo zipo, nilikanywa sana nikadharau) tulikuja break up.

Impact yake ilikua kubwa sanaa. But im glad nilipata mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…