Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Kutamani kufanya kazi fulani bila kujua inafanywaje na baada ya kuipata hyo kazi chamoto nakiona,natamani kuacha ila siwezi,kwa leo niishie hapa.
 
kusoma miaka mingi, alafu matokeo ni upuuzi mtupu.

Hahaha, well nina Degree na MSc. (Zote za Accounting & Finance Field) nilivyorudi from mbele nikaregister na board ya wahasibu nipige ma paper yao niwe Certified.

Yani ile tu nimelipia kila kitu....Jamaa zangu niliokuwa nao ughaibuni kishule wakaniambia kwann tusifanye biashara flan huku Kariakoo (Support Tulipata). Hela niliokua napiga kule sumtyms na watu ambao hawana hata diploma, sikuhudhuria tena hata kipindi kimoja cha hyo course. [emoji23][emoji23]

Nikafutilia mbali....Sumtyms watu wanachelewa maisha sababu ya shule ( Simaanishi shule ni mbaya, ila at tyms soma kiasi tu, ukipata capital na channel go for it.)
 
Nakubaliana na wewe 100% , shule kibongo bongo inazingua, unapoteza miaka mingi kusoma halafu ukipata hiyo kazi mshahara laki 6 [emoji15] .Kama mtu unawekeza muda wako kwenye business unatoboa vizuri tu
We una lako jambo, si kwa hayo maswali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlinzi wa bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…