Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Me nimekuelewa
 
Nimeoa mwanamke ambaye sikumchunguza vzr na kumuacha aliye futaha yangu, nateseka na najutia sana. Bado na struggle namna ya kurejesha furaha yangu. It hurts me much
Pole mkuu majuto ni mjukuuu. Iloo ni chaguo lako.
 
Asante, nilikurupuka aisee. Bado nafikiria njia ya kutokea. Natamani kupata kazi mbali na hapa ili niwe nakaa mbali kwa muda mrefu kidogo
Usihofu ktk maisha hv vitu vinatokea sn na mara nyingi huwa tunakosea kwa kutokujua tunataka nn ktk maisha hasa ndoa. Unaweza kuwa na mapesa ila km huna furaha ni kazi bure..
Mna watoto?
 
Kutomwambia Mary nampenda mpk jamaa akampata,
Binti wa mweny Nyumba mkali alinipenda na kunitega sana lkn nikaruka kwa kuogopa kutimuliwa, siku anaolewa ananambia flani nilijitahid kuw krb na wew lkn hukunipenda duuuu

Sasa nambwela kutafuta mke
Mungu nijaalie huyu niliye naye nifanikiwe
 
Usihofu ktk maisha hv vitu vinatokea sn na mara nyingi huwa tunakosea kwa kutokujua tunataka nn ktk maisha hasa ndoa. Unaweza kuwa na mapesa ila km huna furaha ni kazi bure..
Mna watoto?
Ndiyo, mmoja. And nadhan sitataka nipate mwingine tena kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…