Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Najutia sana kuchelewa kuvumbua nia na madhumuni rasmi ya waraka nina matumaini Shunie atawachanganya vya kutosha mshindwe kuutoa waraka mapema ili uwe mikono salama(ya kwetu)

Shunie ni mbarikiwa si mzandiki kama Numbisa. Tunajuta kukushirikisha kwenye waraka wetu. Tumeshaanza kuuedit kufukia umamluki wako
 
Mi najutia sana kumwingiza Numbisa kwenye maabara yangu. Najutia sana ushauri wa Bonny ... ameufanya utajiri wangu usogezwe mbele kwa kipindi kisichojulikana.

Ngoja niangalie kama Shunie anaweza kuziba mapengo... Vinginevyo ntamuachia Mungu.
mkuu tumeanza kutupiana mawe hadharani hivi najua Numbisa ndio tatzo kwako na swala kubwa alikataa kua anna ushaur wangu bado uko pale pale kua lazma tupate mtu wa kaliba ya Numbisa ili kuweza kupata mafanikio

kuhusu Shunie hapa ni kwa sababu hujamfahamu vizur ila acha nikupe muda ila utakuja kunielewa nnachomaanisha hapo baadae
'always rule number 3"
 
Hahahaaa bahati nzuri mie sio nyasi hahaha (mafahari wawili) nasubiria kudaka kitu hapa
 
mkuu pole sana ukiwa kimya ni balaa.Ningelikuwa wewe ningekaa nimwambie ukweli then kila mtu atafute utaratibu wake hii naionaga sana mkuu barabarani kwenye foleni asubuhi na jioni
Ni hatari, bilashaka huwa unaniona na mm pia. Inaumiza sana

Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
 
Mi sijajutia kuondoka jeshini... ila nawaonea huruma niliowaacha huko... yani wako choka mbaya na vinyota vyao...
 
.....mm najuta kwa haya.....
1.kuwa in relationship with 1 girl nakuanza kuwa ignore girls wengine , niliyejua tutafika mbali ..kumbe yeye anayake kichwani..yaan mm nilikuwa kila kitu kwake mpaka masomo nikawa namsaidia...ila siku alokuja nitamkia niliona kama dunia inapasuka...ila na shukuru maana niliona bora nivumilie tuu..na wala cyo kuanza kujifikilia kujiua


2..kutokana na mawazo ya kuachwa niliona bora niwe napiga puchu ili nijifajiri mm kama mm tuu maana nilikuwa kweny kipind kigumu sana katika maisha yangu




Pia yote haya yameni athiri kisaikolojia mpaka sasa.
 
Pole sana mndee....njoo pm tuyajenge ili nikupunguzie machungu ya ndoa
 
Kuwekeza bar, nikipata mshahara 1-5 pesa zimekwisha.
Thanks God, nimeacha pombe na sasa najutia pesa nilizopoteza kwenye pombe ningekuwa mbali sana kimaendeleo.
 
Kwani bikra zote huna ?
 

Ushaliwa....watu wazima tushaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…