Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Naomba tuungane kwenye majuto haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema Mimi nisikufuru nilipata shavu kwa wachina ingawa salary mbovu but something is better than nothing.
 
Pole aisee..
 
Mtoto wa kike akitulia taabu, akiwa mapepe taabu. Sijui walimwengu tunataka nini?
 
Samahan Sam...niwe mkweli nimecheka balaa..nakuhisgi ww mtata.mtukutu kumbe kwel bwana..yaan naandika hapa nacheka balaa..hahahaa...nna 2nd born anataka kuwa km ww😂😂😂..dah
Bila hata samahani yani! Uko sahihi ila saivi nimekua bwana🙁...najitahidi sana kufuta fikra kama zako kwa ndugu zangu maana Ndugu zangu 90% hadi leo wakiskia SAM kafanya 1 2 3..utawaskia (tushamzoea) so masiha yangu ya sasa Hivi,unaeza hisi Ni made from heaven...

Watoto wa Wachungaji sijui shetani anatutakiaga nini sisi🙁
 
Samahan Sam...niwe mkweli nimecheka balaa..nakuhisgi ww mtata.mtukutu kumbe kwel bwana..yaan naandika hapa nacheka balaa..hahahaa...nna 2nd born anataka kuwa km ww😂😂😂..dah
Ili umuokoe huyo pacha angu..nakusihi Usimpige anapokosea wala usimpeleke kwa ndugu au hata mtu akwambie mlete huku nikae nae Ukakubali(ndio utazidi mpoteza)..type yetu nimegundua ili tunyooke Tunahitaji adhabu za kawaida na counselling kwa sana sana sana maana after utundu wetu tukikaaga ndani huwa tunawazaga Maujinga tulokua tukiyafanya..ktk yale mawazo inatakiwa tuwe tushapewa maneno sana so wakat tukiyatafakari maujinga yetu tukiunga na yale maneno ya kugombezwa Akili inaturudiaga.

Ukijifanya utunishe misuli na sisi kisa wewe n mzazi na sisi huwa tunatakaga kuwa prove kuwa nyie hamtuwezi so badala ya kunibadilisha utakuta tunashindana halafu end of the day Lazima Tutakushinda ambapo ndio KUHARIBIKIWA KWETU na aibu kwako mzazi kwa kutoa mtoto Aliyeharibikiwa.

ukiweza hata kiboko usimpge uzuri ni kwamba ushajua this is SAM's type..deal nae kwa KUTUMIA uBONGO tu na si Ubabe wa wewe ni mzazi.
 
Wewe hufai, kama ulichunwa na wewe ndio uchune?

😂😂😂💪💪💪💪🎶🎶🎶 Hii sentensi ya mwisho imenigusa...hahahahaa...ukiona tu wazaz ni watu wenye dini bas tegemea watoto watakuwa shida...hii nimeiona sana..hahha..noma sana..!Hongera kuamua kubadilika best...!

Kuna mtoto m1 mamake mchungaji hujo KKKT..huyu dogo ni wa kike..jaman mtoto anavuta bangi huyooo..ndo anamaliza chuo mwaka huu. sijajua ni majaribu au nn..

Omba sana pia...
 
sema shetani hanipati tena...Mi naenda zangu Mbinguni saivi alikoseaga mahali... so kunipata this time around labda aamue kuja upande wangu alafu turudi wote ila sio anidanganye tena akiwa huko alipo.
 


Hahahahaa...nacheka km mazuri..huyu dogo ht ukimuona tu unajua huyu mtundu sana..yaan kakorofiii...kamewah kutufungia nje..kakaja fungùa saa8 usk yaan ilikua ukimgombeza tu anakimbilia chumban anajifungia mazima..utaita wee..wapii.kakaa kimya..jaman...nakwazika..ila maajabu shuleni ticha ake ananiambia Luiz is very smart..had nikamwambia kwan kuna kina Luiz wawili hili darasa...dah..ni mtata sijapata ona..lakini naambiwa na mm nilikua hv...baba yetu alikua hvi..mtata,mbabe,dah ..siku hiz simpigi..nampa postive discpline..ila hazisaidii..ukimuacha kwenda mjin hajishughulishi..anafungulia kuku makusudically wanakula maua yangu..chaa!
 
sema shetani hanipati tena...Mi naenda zangu Mbinguni saivi alikoseaga mahali... so kunipata this time around labda aamue kuja upande wangu alafu turudi wote ila sio anidanganye tena akiwa huko alipo.


😂😂😂😂😂mpitiane wote..dah..unanikumbusha nilipokua jank jaman..dah...!
 
ha ha ha utakoma sema anaonyesha ni wa mpito huyo.hatodumu kwenye hiyo sekta ya utundu/utukutu/ukorofi Nenda nae sawa taratbu kadri umri unavyosogea atazidi ku mature na utamuona anakua kama wewe sasa hivi (mtundu/mkorofi wa kisir siri) 😂 😂
 
kwan asojua wewe cha utundu hadi leo nani? (ebu nsje mwaga mchele kwenye kuku wengi saizi)


Unanikosea sana best..hahaha mm nilikua mkorofi sana hom..ila shule i was cool..nilikorofishwa zaidi twin wangu alivyofariki nilkua nawaza kuua familia nzima..nashukuru Mungu ile hali iliendelea kuisha taratibu...nilipanga kuua wote...niliumia sana..niliona hakuna anayeumia km mm..dah
 
pole dear,nakutania tu in life nothing is permanent hata upitie gumu,zuri,tamu,chungu Litapita Na kuja lingine..ni mwendo wa mbio za vijiti.

Hopefully! una Amani na Ulishaachilia YOTE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…