Pole!Unanikosea sana best..hahaha mm nilikua mkorofi sana hom..ila shule i was cool..nilikorofishwa zaidi twin wangu alivyofariki nilkua nawaza kuua familia nzima..nashukuru Mungu ile hali iliendelea kuisha taratibu...nilipanga kuua wote...niliumia sana..niliona hakuna anayeumia km mm..dah
kama haujautumia mda mrefu haina maana yeyote na pia elimu ya sasa tunayofundishwa haina uhalisia na age tulioko kwahiyo inawapa wigo mdogo sana kuigeuza kuwa maarifa .....the system has failHaujapoteza ndg. Kwan elimu ni asset. Naamini utafanikiwa ndg.
Nawe tupe story yako.....Lakuchumpa ukatinga nalo hahaaaahaaaaaaaa
Pole sana.Unanikosea sana best..hahaha mm nilikua mkorofi sana hom..ila shule i was cool..nilikorofishwa zaidi twin wangu alivyofariki nilkua nawaza kuua familia nzima..nashukuru Mungu ile hali iliendelea kuisha taratibu...nilipanga kuua wote...niliumia sana..niliona hakuna anayeumia km mm..dah
Ni kweli Kama mtu asipojiongeza hawezi kufanikiwa.kama haujautumia mda mrefu haina maana yeyote na pia elimu ya sasa tunayofundishwa haina uhalisia na age tulioko kwahiyo inawapa wigo mdogo sana kuigeuza kuwa maarifa .....the system has fail
Pole sana.
Kwenye mapacha mara nyingi kuna mpole na mtundu, wewe utakua ni yule mpole.
Nilihisi wewe ndiye mtundu ila nikasema bora niseme mpole ukanushe😂😂Nope..mm ndo nilikua mtundu...hahaha mwenzangu alikua mpole sana .mm zaman nilikua naongea km cherehan bas nilikua siaminik kbs yaan alafu macho yangu mm huwa ni very Sharp😂😂..bas dah .
Nawe tupe story yako.....
Hahahaha 😀 😀 😀 nenda naye taratibu...kama akikosea muonye kiurafiki kwa kumueleza kuwa jambo alilofanya sio sahihi. Jaribu kumpa moyo na kumzawadia anapopunguza utundu ili aweze kuhusianisha tendo hilo na zawadi. Utundu utaisha eventually. Watoto watundu kama huyu shuleni wako vizuri sana. Nina mtoto wangu mtata sana awapo nyumbani lakini shuleni yupo vizuri hadi nashangaa. Watoto ma genius ndivyo walivyo. Mchukulie easy.Hahahahaa...nacheka km mazuri..huyu dogo ht ukimuona tu unajua huyu mtundu sana..yaan kakorofiii...kamewah kutufungia nje..kakaja fungùa saa8 usk yaan ilikua ukimgombeza tu anakimbilia chumban anajifungia mazima..utaita wee..wapii.kakaa kimya..jaman...nakwazika..ila maajabu shuleni ticha ake ananiambia Luiz is very smart..had nikamwambia kwan kuna kina Luiz wawili hili darasa...dah..ni mtata sijapata ona..lakini naambiwa na mm nilikua hv...baba yetu alikua hvi..mtata,mbabe,dah ..siku hiz simpigi..nampa postive discpline..ila hazisaidii..ukimuacha kwenda mjin hajishughulishi..anafungulia kuku makusudically wanakula maua yangu..chaa!
Hahahaha 😀 😀 😀 nenda naye taratibu...kama akikosea muonye kiurafiki kwa kumueleza kuwa jambo alilofanya sio sahihi. Jaribu kumpa moyo na kumzawadia anapopunguza utundu ili aweze kuhusianisha tendo hilo na zawadi. Utundu utaisha eventually. Watoto watundu kama huyu shuleni wako vizuri sana. Nina mtoto wangu mtata sana awapo nyumbani lakini shuleni yupo vizuri hadi nashangaa. Watoto ma genius ndivyo walivyo. Mchukulie easy.
Huwa hawapendi kuambia negative comments kuwahusu...ukimsema vibaya anakosa raha ndio maana nimesema uwe unam-reward, sio kwa kumpa zawadi tu anapofanya vizuri kitabia na kitaaluma bali hata anapokosea mwambie ukipunguza utundu nitakununulia zawadi fulani...na sometimes uwe unamletea zawadi na kumuahidi kuwa akiendelea ku-behave vizuri, utampa zawadi kubwa zaidi.Kako smart sana ila shid yake hatak kufindishwa kbs..yaan anajifundisha mweyew ..hahah nw ndo naenda nYe hvyo..ila ukimtisha ndo umeharibi kbs yaan eventually anakufanyia kitu cha ajabu ...kanaweza ficha keys ht 2dys..ukipanik hakupi ng'o..mie nakafinyaga ndo kanalia tu hakuoneshi. akikuonesha anakuambja Nimeficha kwasababu ulisema mm mtoto mbya hhahaa..ptu
Huwa hawapendi kuambia negative comments kuwahusu...ukimsema vibaya anakosa raha ndio maana nimesema uwe unam-reward, sio kwa kumpa zawadi tu anapofanya vizuri kitabia na kitaaluma bali hata anapokosea mwambie ukipunguza utundu nitakununulia zawadi fulani...na sometimes uwe unamletea zawadi na kumuahidi kuwa akiendelea ku-behave vizuri, utampa zawadi kubwa zaidi.
Ni kweli pia hawapendi kufundishwa na shuleni akifundishwa njia labda ya kukokotoa hesabu, akija nyumbani ukamfundisha njia nyingine nyepesi, hakusikilizi. Wa kwangu naye yuko hivyo. Lakini utoto nao unachangia....wakiwa wakubwa wanakuwa waelewa sana.
Najuta kubarehe
Niuzie vyetiKosa ninalojutia kozi niliyosomea najuta sio sir nilitembea kutafuta kaz mpk bahasha ilikuwa inachanika kwa jasho la mkono ila sikupata na mpk sasa niliamua kuachana na hizo habar nikaamua kujiajir tu
Wewe nimesha kufaham, upo Babati, tena unauza dukaNajutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
Pole Sana, mungu akutie nguvuNajuta nilivyo mvumilia mwanaume miaka 20 bila matunzo na kujimudu mwenyewe kimaisha na kulea watoto mwenyewe yeye analeta pumbu tu na kipigo juu na alikuwa mdokozi wa vijisenti vyangu vya biashara nikamvumilia tu sababu akutetelesha msingi wangu lakini kilicho nifanya nilivue pendo na mwishoo wangu kwake na kilio kikubwa zaidi ya majuto alicho nifanyia kuniibia pesa zangu zote za mtaji mpaka sasa natangatanga nadaiwa pesa za mashure (private) mpaka wamenichoka kulialia wakati enzi zangu ilikuwa pesa ya madafu kulipia watoto 4 najuta kumvumlia mwanaume malio na kupoteza muda wangu na umri wangu wa ujana nikitegemea ataacha yanii daaa! Simsame mpaka uchumi wangu urudi tena ata Nikifa asije kwenye mazishi yangu ata jeneza asiguse atakuwa ananijoki tu nae anajua haya![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hhahahaaaaa umetisha[emoji1] [emoji1] [emoji1] mabumunda.afu wale wafanyabiashara nje ya kanisa ndio walikuwa wanasababisha yote haya.
Mambo ya maendeleo ya jamii mkuuBsc ya nini mkuu?