Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
huwa nahisi hivyo mkuuLabda mungu alikuepushia kitu huwezi jua labda hao wenzako wamepatwa na nn huko.usijaulumu maisha Yana maksudi yake.
stakagi kukumbuka hii kitu mzeekakaDaah mzee alizingua[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Aisee pole sana na kama hujawah kuwasikia yaweza kuwa walipatwa na janga baya huko mshukuru mungu kwa yotehuwa nahisi hivyo mkuu
sipendagi sana kusimulia mtu kuhusu hii inshu lakini leo imebidi tu nahisi hivyo coz jamaa sijawai kuwaskia tena tok nilivyohama pale magereza
shukrani mkuuAisee pole sana na kama hujawah kuwasikia yaweza kuwa walipatwa na janga baya huko mshukuru mungu kwa yote
Suala dogo sana hilii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me zilifutwa kama upepo alafu ikabaki kesi sasa ambayo haina udhahidii...Mpenzi wangu kabla hajawa mke wangu,alipozikuta SMS mbaya sana za kimapenzi za wanawake wengine kwenye Simu yangu
Uwezo mkuu, tungesoma zingine huenda tungeishia kutaga
Nyie mliopt kusoma combination rahisi mkaishia kusoma Degree course za watu wengi kama Sociology nk
Wasichana wengi mnamentality kuwa hesabu na Physics ni masomo magumu, wakati nyie ndo mnauwezo wa kuweka vitu kwenye bongo zenu kuliko wanaumeUwezo mkuu, tungesoma zingine huenda tungeishia kutaga
Kwa hiyo tunaosoma masomo mengine ni wanawake tu? Na huko mlikosoma ninyi hakuna wanawake?Wasichana wengi mnamentality kuwa hesabu na Physics ni masomo magumu, wakati nyie ndo mnauwezo wa kuweka vitu kwenye bongo zenu kuliko wanaume
Kwa hiyo tunaosoma masomo mengine ni wanawake tu? Na huko mlikosoma ninyi hakuna wanawake?
Bro Mimi alikuwa ananiamini sana sana sana hata Simu yangu alikuwaga hawezi pokea hata SMS ilikuwa ikiingia ananimetea Simu hata niwe umbali gani. Kuna siku niliisahau Simu nikatoka kidogo nikaiacha chumbani na yeye alikuja siku hiyo. Muda si mrefu nikakuta amenifata mahali nilipokuwepo akiwa na Simu yangu mkononi. Basi nikajua kuna SMS au nimepigiwa so kaniletea kama kawaida yake,Basi nlivomwuliza kuna mtu anapiga? Akanambia twende kwanza ndani huku ameishikilia Simu. Asee nlipofika ndani akanambia kaa hapa kisha akaanza kufungua SMS moja baada ya nyingine. Alilia sana sana huku anajiapiza maneno mazito sana,moja ya maneno yalikuwa ni "Mama bora ulivyokufa ungeondoka na Mimi mana mateso ninayopata duniani sina mtetezi wala msaidizi, niliyeamini atakuwa mtetezi na mfariji wangu ndio ananiumiza kuliko mtu yeyeote". Asee nilihuzunika sana hadi nilipiga magoti ila nilijikaza sikulia,kwa Mara ya kwanza nilimfuta machoziSuala dogo sana hilii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me zilifutwa kama upepo alafu ikabaki kesi sasa ambayo haina udhahidii...
Kaka usilaumu sana kuna human trafficking duniani umesema wenzako mpaka leo hujawahi kuwaona... Una uhakika gani walienda Australia kweli?Write your repry...
hii ni ukweli..
kipindi nipo la saba,pale bayroad tulikuwa na team yetu ya sis madogo,akajaga mzungu flani akaweka kombe pale team zipo 6, sisi team yetu tukabeba ndoo,zawadi ilikuwa kupelekwa australia na yule mzungu halafu tutacheza mech team ya huko ya mayanki kama sisi jina nmeisahau, sasa kuna wakenya wawili walipewa kaz ya kupita mahome kwetu kuwaomba wazazi waturuhusu tuondoke, wenzangu wazaz wao wakawaruhusu, mie mzee home akakataa kata kata! nsiende! wakambembeleza wee! mzee kazingua anasema mimi nna mtihani wa la saba so waende na wengne! alafu nlkuwa captain sasa!
kesho yak wenzang wanakuja kuniaga wanaondoka ivoo?
hakuna muda niliolia kama huo toka kuzaliwa! week nzima sikumbuk kama nilikula!
maza nae alkuwa upande wa mzee
nilichoma moto kila kitu nilichonacho kuhusu mpira mpaka juz ndo nimeanza kucheza kitaan
mzee wangu mpaka leo anasema nmsamehe sana huwenda ile ndo ilikuwa ridhik yang toka kwa mungu!
wenzangu wote toka walvoenda sijawah kuwaona tena!
Kuna dada mmoja nljua nampenda sana imean that true love ila sikumwambia thinking alikua na mtu...baada ya miaka kadhaa nilikuja kukutana nae mie nshakua na girlfrnd nikamwambia kuhusu mpenzi nlonayo kwake..yule dada ali lilia sana akanambia hakuna mwanaume amewai kumpenda kama anavyonipenda Mimi..tulibaki kulaumiana tu kwann hatukuambiana..na kwa mda huo mia nlikua na girlfrnd mwenyewe mimba ndo ikawa bas tena....
Kuhusu coz hapo tuko pa1,nmesoma mechanical engineer,kla interview nafeli,nkibahatka,kupata kaz n kwa wahindi kiwandan,sna ham na wahindi,cjui niende gereji tu,nkalipwe 1oooo
Hii inafikirisha sana mkuu ila nachofanya ni kushukuru mpaka sasa nipo mzima kabisa.Kaka usilaumu sana kuna human trafficking duniani umesema wenzako mpaka leo hujawahi kuwaona... Una uhakika gani walienda Australia kweli?
hiki kitu hata kwangu nakiona jamaa akijibu ni jina lingine na wakim koti inakuja jina samwel