Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Kila mwanamke hujibu hivi akiwa bado hajaolewa. Na kila mwanaume hutafuta mke mwema bila kujiangalia kama na yeye ni mwema kweli? Ni hayo tu
 
Kupiga Nyeto mkuu daah hii kitu inanitesa sana hadi sasa sijui nitaishinda vipi japo Kiwango cha upigaji ni tofauti na zamani, kwa sasa naweza kaa hata wiki tatu nne nisipige ila kitambo ilikuwa karibu kila siku
 
Da nilikuwa namuona malaika so nikawa nasubiria wakti. Haya mapenzi haya .............

aliwahi kunifanyia hivo binti mmoja, tokea mwaka 2007 tupo naye, 2011 akaamua kunipiga chini kwa sababu alimpata mhandisi mmoja na wakt wote sikuwahi kumuonja.
niliumia, nilikasirika baada ya hapo nikawa kitombi sana na nilijiapiza nitampata tu. 2017 feb ya tare 4 hivi , nikampiga machine jijini [emoji3][emoji3][emoji3] kwa ahadi ya kumuoa alafu baada ya mwezi nikamtumia picha ya demu mwingine mrembo sana. Najua alitia adabu kwa kuchezea akili yangu
 
Mkuu hukuwa na haraka ya kumpiga kimoja tu....ungesubiri umpige hata vi5 kavu hata umjaze mimba ndipo umuache. Ulikurupuka man[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hukuwa na haraka ya kumpiga kimoja tu....ungesubiri umpige hata vi5 kavu hata umjaze mimba ndipo umuache. Ulikurupuka man[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha nilikaa naye hotel usiku moja, hakuwa mtaalam na sikuona jipya kwake. Pia sikuwa na mpango wowote na yeye zaid ya kujipunguzia maumivu alowahi kunifanyia.
 
Kabisa
 
Dah! Huendi mbinguni kk.
Mi sijawahi kaa mbali na yeye mpaka kieleweke.
Kwa dalili ninazoziona hachomoki.
Namuona anasoma hapa kama sio yeye.
 
Du amakwweli ww ni dagaa...

Hutokubali akuvue chupii...

Umemkisi na unakiri lipsi zake ni tamu kwa kukiss....

Bado hajakuvua tu hadi saivi
 
Hahhhhh umenikumbusha mbali sana hayo mambo ya mtoni mi nilikunywa vikombe hadi leo kila nikijaribu kuogelea nakumbuka hiyo siku nayaheshimu maji kama mama mkwe...
Niliibiwa unform za shule mtoni nikabiki hadi jioni, nikarudi home uchi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…