Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Mi najutia kusoma SUA wakati huo nilikuwa na multiple admission ya SUA na UDSM. Ninajutia maana probation za zilinitesa sana hasa jamaa moja anaitwa SEMBUCHE. Ila naendelea kujuta pia kwa kozi niliosomea maana haina maslahi kabisa na haina heshima
Mkuu ulisoma FCS nn ?
 
Najutia kumsikiliza Everlyne kwamba tusome EGM.wakati.mimi nlikua nataka.kusoma.PCB..na nlikua nimefaulu.. japo nligraduate Accounting UDSM. Bado natamani Sana kuwa Doctor

Sent using Jamii Forums mobile app
Du pole sana mkuu. Watu wengi tumesoma kozi ambazo hazipo damuni mwetu. Inauma sana mtu unafanya kazi hadi unastaafu kwa kufanya kai usiyoipenda. Hata mimi ningerudi kuwa mtoto leo ningesoma kozi niipendayo.
 
Bahati mbaya ni kwamba watu wakifall in love umakini unapungua, so hizi cases zitaendelea kuwepo milele na milele amina.
 
Najutia kujua utam wa Papuchi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili la kusoma course mbovu limetugusa wengi ...Yaani marafiki na utoto wa olevel umesababisha nikaiacha sayansi niliyokua naimudu vizuri na kukuimbilia kwenye masomo yaliyopelekea kuja kusoma course isiyo na tija...LAKINI BADO NAMWOMBA MUNGU ANITETEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…